PICHA harusi: CIVIL ENGINEER(Mkandarasi) ndani ya ubunifu wa karne AFRICA

engineer - Mhandisi, civil engineer (mkandarasi) mbona vitu vidogo hivi mkuu
Injinia (say CIVIL ENGINEER) lazima awe na ujuzi wa uhandisi/Amesomea chuo au college....

Mkandarasi (contractor) si lazima awe na ujuzi wa uhandisi au amesomea uhandisi. Even a lay man can be a contractor...

No offenc mkuu...peace...
 
 
Haya magreda huwa yananyanyua kijiko chake kwa nguvu ya hewa sasa hizi mbwembwe ngojea liluzi hewa kitakachomkuta picha sake hatutaziona
 
Tabu yote ya nini hiyo? Halafu jamaa anaona kama kalazimishwa tu, hihi ilikuwa plan ya huyo mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…