mwaka 2000 hakuwa muaminifu. bil 27 kwa bili 10 tofauti ya miaka 17 lakini tofauti ya uwezo wa hostel ni ni vitanda 200. sasa cost ya vitanda 200 ndo ilete diference ya bil 17 kwa miaka 17 iliyopita? ni wazi waliiba au span ya jengo la sasa ni fupi ukilinganisha na lililojengwa mwaka 2000.
wataalamu wa hesabu watanielewa.