PICHA: Askofu Gwajima aanza rasmi semina ya uponyaji

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wadau nimekutana nahii

Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Dr Josephat Gwajima, leo 01/05/2016 ameanza semina ya Uponyaji kwa watu wote.

Walete wagonjwa, wenye shida, walemavu, viziwi, wenye ukimwi na magonjwa mbalimbali watapona na wafu watafufuka.

Semina hii ya wiki nzima Itafanyika katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo Dar es Salaam.

Kanisa lipo Ubungo Kibo mara baada ya mitambo ya Tanesco. Mtaarifu na Mwingine.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0714729805 au 0676502045.
 
Attachments

  • 1462129694083.jpg
    183.6 KB · Views: 106
  • 1462129720290.jpg
    183.6 KB · Views: 90
Hivi uyo Gwajima hana hata chembe ya Ouga kwa Mola wake Jamani hawa viongozi wa dini hawa Eeh
Eti anafufua wafu Hii ni Kazi ya Mungu peke yake Hakuna mwanadamu anayeweze hata uyo Gwajima anajua kabsa kuwa hawezi kufanya hivyo mbwembwe .
 
Hivi Mungu anaweza kushuka mwenyewe na kufufua?au anatumia watu? Je kwenye biblia hakuna sehemu ambayo hawa watumishi wameambiwa na Isa bin Mariam wafufue?au nn kina washinda hawa watumishi? Kwann Gwajima yeye anathubutu mm najiulizaga sana maswali juu ya huyu Gwajima wao
 
Alafu ametoa namba za Hao watu mtu acomfirm alafu atujuze kama ni kweli wadau
 
Popo Fahamu kuwa MwenyeziMungu hashindwi na kitu chochote Akitaka kufanya jambo lolote husema kuwa basi linakuwa kama atakavyo

Ndugu naomba nikufamishe jambo moja mm binafsi nmezaliwa Ubungo Nyuma ya Tanesco kule ndo nyumbani Nakuambia Tangu kanisa la Ufufuo lianzishwe pale Ubungo Kibo Hatuja wahi kusikia walau kiwete mmoja ambaye tunamfahamu hapo Ubunge amepona, wala kiziwi, bubu au mgonjwa wa Ukimwi sikwambii hiyo misukule ya kutengeneza inayotolewa hapo kanisani Hatujawai kuona mtu wa Ubungo akifufuliwa msukule sasa swali ina maana uyu Gwajima viwete mabubu, Viziwi na misukule ndio anaweza kuwaponya Ila wahapa Ubungo ndo ishindikane kweli? Embu jaman niambiaeni mnaojua kutumia vipimo kiuadilifu!!!
 
Aiseee
Ubungo kuna kiwete gani au msukule tumpeleke alafu tukaone nn kitatokea mtafute mwenye mashetani au maruani au bubu alafu tumpeleke kwenye hiyo semina alafu tusikilizie Je atapona?
 
... Tazama katika siku za mwisho watatokea manabii wa uongo nao watakuja kwa jina langu....
 
Hivi uyo Gwajima hana hata chembe ya Ouga kwa Mola wake Jamani hawa viongozi wa dini hawa Eeh
Eti anafufua wafu Hii ni Kazi ya Mungu peke yake Hakuna mwanadamu anayeweze hata uyo Gwajima anajua kabsa kuwa hawezi kufanya hivyo mbwembwe .
Yesu alifufua wafu

Eliah alifufu wafu.
 
Aiseee
Ubungo kuna kiwete gani au msukule tumpeleke alafu tukaone nn kitatokea mtafute mwenye mashetani au maruani au bubu alafu tumpeleke kwenye hiyo semina alafu tusikilizie Je atapona?
Viwete wapo wengi na washai kulekwa mpka Leo Hakuna mabadiliko yeyote Uyu Mtu ni Muongo tu wanaomfuata wajue hawako ktk njia ya sawa wanapotezwa mda wengine bora hata Shari ya waganga kuliko Mtu anayevaa joho la dini alafu akawa anapiteza watu
 
Ukiwa na Imani nae mungu hashindwi kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…