chakula cha watoto
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 539
- 1,496
Kwa wale tuliosoma ifunda tech tunajua mziki wa engineering science (physics) sio poa. Mimi tangu nipo form one mpaka namaliza form six sijawahi kupata chini ya A kwenye somo lolote lile lililokuwa linanihusu mpaka mathematics tena math kwangu ulikuwa uji wa ulezi tu ila ngoma ya physics kupata tu B iliyonyooka ilikuwa kimbembe vibaya mno
Mara ya kwanza tu nikiwa form one tulikuwa tunaita engineering science Kwa wale wa shule za ufundi nilipata A tokea hapo sikuwa kupata A ya physics tena nahakuna alopata darasani kwetu mpaka tunamaliza advance
Ukija advance physics ni nzito inameza ujazo wa masomo yote unayosoma ktk combination, pure mathematics ni uji tu Kwa physics hata chemistry hamna kitu. Afu utaskia nyau anasema eti math ngumu kisa yupo EGM huko madongo kuinama stupid