Physics kwa ujumla kitaifa form wamefauluje

Kwani hii simu imetengenezwa hapa Tz !!?, ---imetengenezwa na watu ambao kwao Physics inayo manufaa.
hata ss kwetu physics inamanufaa makubwa sana
1. Barabara na majengo yetu yanajengwa kwa knowledge ya physics
2. Vyombo by usafiri vinatengezwa na kuendeshwa kwa knowledge ya physics
3 viwanda vyetu vinategemewa kuendesha na watu wenye knowledge ya physics

Kusema physics ifutwe ni sawa na kufuta maendeleo kwa watanzania.....hili jambo haiwezekani hata kidogo
 


Ni maendeleo gani tunayo kutokana na physics??--- sio hayo ya kujenga barabara na mitaro kazi ambayo hata Babu yangu aliifanya licha ya kwamba hakwenda Shule.--- hata hivyo mafundi ujenzi wengi Tz wala hawajui Physics ni kitu gani!!.

Kurusha rocket na ndege mnashindwa halafu mnang'ang'ania Physics, physics !!!
 
Kama sio physics tusingekua na JF leo. Alafu akili hako inakutuma ifutwe daah.


Mimi sizungumzii applied physics, nazumgumzia Physics asilia sisi Watz hatuiwezi ni bora ifutwe badala yake waweke somo la utamaduni na ngoma za kwetu.
 
Babu yako anaweza kujibu Kwa nini baadhi ya Kona kwenye barabara inalalia upande mmoja? Kwa hiyo unaamini kabisa mafundi ujenzi wanajenga Barabara pasipo maelekezo ya watalaam(wahandisi)?

Kwamba mafundi wanajikusanya Tu na kuanza kujenga? Unatakiwa ujue ujenzi wa Barabara , maghorofa, madaraja unaanzia kwenye karatasi na maabara. Babu yako na mafundi ni watekelezaji WA kile kilichoamriwa na watalaam na wanatekeleza Kwa kusimamiwa na watalaam na ndio maana Babu yako hawezi kujibu Kwa nini Barabara kulalia upande mmoja kwenye Kona.
 


Banking of road !!, kipindi cha babu yangu hakukuwa na massive constructions za barabara kiasi kwamba the Banking at the corners of roads ihusike, juu ya yote asingeshindwa kitambua jambo hilo.

Physics haina msaada kwetu, inaomsaada kwa watu wengine, let them do it effectively and let's do something else effectively as a substitute to Physics, that's what I mean.---- so far with your knowlefge of Physics, have you ever made even a needle??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…