Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Jun 28, 2024
473
1,363
Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4

Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo

Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee,

hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida kupata fursa mfano petroleum engineering, agriculture engineering, textile engineering, environment engineering, n.k. kuna taaluma zipo kisiasa, ni za majaribio, kuongeza mapato ya chuo, n.k. zinawaacha wahitimu wanasota

Nimefanya research nimeona angalau kuna matumaini kwenye Computer Engineering, Mechanical Engineering, Electical Engineering na nyingine unaweza kunishauri

Naombeni ushauri kwa kuzingatia tatizo la ajira, aende kusomea kitu ambacho angalau kina soko, pia kuwe kuna matangazo ya ajira mara kwa mara.
 
Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo kwenye masomo ya Science,

Yeye anataka kuanza kusomea taaluma ( profession ) mapema, hivyo inabidi aende chuo

Shida inakuja anapata wakati mgumu kuamua kozi ya kusoma.

Asomee Computer Engineering, Mechanical Engineering, Electical Engineering au ?
Asome Civil Engineering angalau hii bado soko lake kubwa
 
kama ameanza kufaulu kwa "A "Katika physics na hesabu tangu form 2 mpaka form 4.Pia kama anapenda ufundi maana kufauli ni jambo moja na kupenda kitu ni jambo lingine.Namshauri aapply MUST akasome ELECRICAL AND ELECTRONICS ENGINEERING,hapo anakuwa amepiga two in one na PRODUCTS za MUST katika hii kozi wapo vizuri sana.

Hii kozi itampa uwanda mkubwa wa kucheza na umeme na vifaa vinavyotumia umeme🤝
 
Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo kwenye masomo ya Science,

Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo

Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee,

hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida kupata fursa mfano petroleum engineering, agriculture engineering, textile, environment engineering, n.k.

Nimefanya research nimeona achague kati ya Computer Engineering, Mechanical Engineering, Electical Engineering, (unaweza kunishauri za ziada)

Naombeni ushauri kwa kuzingatia tatizo la ajira, aende kusomea kitu ambacho angalau kina soko, pia kuwe kuna matangazo ya ajira mara kwa mara.
NAKUSISITIZA,ASIENDE ADVANCE.
 
Hizo grades za form four hamna kitu! Ingekuwa advance angalau!
 
Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo kwenye masomo ya Science,

Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo

Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee,

hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida kupata fursa mfano petroleum engineering, agriculture engineering, textile engineering, environment engineering, n.k.

Nimefanya research nimeona achague kati ya Computer Engineering, Mechanical Engineering, Electical Engineering, (unaweza kunishauri za ziada)

Naombeni ushauri kwa kuzingatia tatizo la ajira, aende kusomea kitu ambacho angalau kina soko, pia kuwe kuna matangazo ya ajira mara kwa mara.
DIT
 
Back
Top Bottom