Phonebook imejaa namba za watu wengi ambao sio faida kwako.

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
9,379
20,114
Unakuta umepata tatizo la kifedha,afya,sheria hata connection ukiangalia namba za simu hata mjomba wa katibu tarafa tawi la ccm huna.

Namba zilizojazana sasa:
Phonebook:
1.Athuman mchonga majeneza
2.Aisha mabiliani
3.Mangi jirani wa duka la kukopa.
4.John muuza mali za wizi
5.Aisha chupi kubwa
6.Tatu wa korner bar
7.kioski cha K-vant
9.GB64 wa simba
8.Wanadai kwenye App za mikopo humiza
9.Wanadai kwenye App za mikopo humiza2
10.Wanadai kwenye App za mikopo humiza3
11..Wanadai kwenye App za mikopo humiza4
12.shabani madobe wa sherehee
13. Itapendeza wa konyagi
14. Mshikaji wa mwochwari.
15.kabaka mzoefu wa ccm
 
Unakuta umepata tatizo la kifedha,afya,sheria hata connection ukiangalia namba za simu hata mjomba wa katibu tarafa tawi la ccm huna.

Namba zilizojazana sasa:
Phonebook:
1.Athuman mchonga majeneza
2.Aisha mabiliani
3.Mangi jirani wa duka la kukopa.
4.John muuza mali za wizi
5.Aisha chupi kubwa
6.Tatu wa korner bar
7.kioski cha K-vant
9.GB64 wa simba
8.Wanadai kwenye App za mikopo humiza
9.Wanadai kwenye App za mikopo humiza2
10.Wanadai kwenye App za mikopo humiza3
11..Wanadai kwenye App za mikopo humiza4
12.shabani madobe wa sherehee
13. Itapendeza wa konyagi
14. Mshikaji wa mwochwari.
15.kabaka mzoefu wa ccm
Ni kudelete tuu au namba za marehemu Bado mtu anazo!
 
Back
Top Bottom