Huyu jamaa baba yake hajawahi kuwa rais.Huyu jamaa baba yake aliwahi kuwa raisi tena dictator haswa,alijilimbikishia mali zinazokadiliwa kufikia 20 USD billion .,kitu kilichomfanya akubalike kwenye uchaguzi ni nshu ya kuongelea kuuwa wala rushwa ,wauza madawa ya kulevya,waharifu
Asante Mkuu nimechanganya madesa ,kuna mtoto wa huyo dictator alikuwa anagombea nikazani ndio huyu Rodrigo duterte ,yule alikuwa anagombea kwa upande wa vice presidentHuyu jamaa baba yake hajawahi kuwa rais.