Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,233
- 1,812
Ni mtu mzuri ila tamaa ya cheo inafuta mazuri yake yote.Msigwa anamaanisha hata huko ccm alikotimkia ikiwa hatapewa cheo chochote basi atakimbia vilevile, kwamba yeye hawezi kuishi bila cheo!.
Ingawa ni haki yake kikatiba kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM lakini kwakweli sababu za kuhama kwakwe (kwa mtu makini) hazina mashiko hata chembe!.
Hivi kataja sababu zipi za kuhamia CCM? Intelligence ya Chadema kumbe iko imara kiasi hiki. Hongereni, mko vizuri.Tunamjua kwa kipindi kirefu sana ila tulimsitiri tu.
Hivi Kuna matapishi mabaya kuwahi kuliwa kama yale ya lowasa 2015? Yale matapishi hata ubadilishe utumbo wote na uwekewe mpya bado kinywa kitanuka tuu matapishiTunamjua kwa kipindi kirefu sana ila tulimsitiri tu
Kila mtu aende akale kule aliko peleka mboga .alichofanya msigwa ni kitu ambacho mtu yeyote mwenye akili angekifanya.
1. unashuhudia mtu mmoja tu kuwa mwenyekiti wa maisha wakati wapo wasomi na wenye akili na uwezo kuliko yeye.
2. unashuhudia mtu analamba asali, anatokea gerezani hadi ikulu na ananyamaza kimyaaa. kama sio yule wa awali kabisa.
3. unashuhudia unyama kwa chacha wangwe.
4. unashuhudia usaliti kumpokea lowasa na sumaye na namna dr slaa alivyoondoka.
5. unashuhudia ukabila kwenye chama.
6. unashuhudia Mrema na timu yake wamekuja eneo lako la kugombea uenyekiti nyasa, anakunywa pombe pamoja na mpinzani wako nadi saa sita usiku, unapiga kelele mwenyekiti wako kimyaaa, na inasemekana mwenyekiti kaagiza wewe ndio uchinjiliwe mbali kwenye kinyang'anyiro.
7. wajumbe wawili waliotakiwa kupiga kura hawajapiga ili wewe ushindwe.
8. uchaguzi unaisha, unalalamika, lakini kimyaaa kwa king mbowe.
9. na siri nyingii ambazo anazo atazimwaga wakati wa kampeni mwakani.
10. Tundu Lisu hana hata gari wakati yeye ndiye mpiganaji mkuu kuliko hata mbowe, hadi anachangiwa kununua gari, hata mbowe hapigi changizo wakati kuna pesa kibao za ruzuku kutokana na covid 19.
kwa kifupi, hata Tundu Lisu, anakosa tu pa kwenda, amekichoka chama, amemchoka mbowe, amechoka ukabila. kungekuwa na chama kingine nje ya ccm, Tundu Lisu angeshaenda kitambo sana. na Tundu Lisu naye, ni mwanadamu, naamini uzalendo utamshinda muda si mrefu, atajiunga na ccm kwasababu hana chama kingine kwa sasa, chadema imemwacha kama anapambana peke yake na mwenyekiti inaonekana zile asali huwa hamgawii.
hivi ungekuwa wewe ndio msigwa, ungefanya nini?
Hata haeleweki ila inafahamika kwamba kalipwa, lakini ccm wanawezaje kumnunua aliyeshindwa?Hivi kataja sababu zipi za kuhamia CCM? Intelligence ya Chadema kumbe iko imara kiasi hiki. Hongereni, mko vizuri.
Hakika,anatapatapa na hajui anachokitakaTunamjua kwa kipindi kirefu sana ila tulimsitiri tu
MnoSiasa za bongo ni pasua kichwa tu.
Career politician. Hana kazi maalum ya kufanya na anategemea siasa kuishi. Njaa imemkaba.Peter Msigwa Mlaji wa matapishi yake
Uamuzi wa Peter Msigwa kuhama kutoka Chadema kwenda CCM unaacha alama mbaya katika siasa za Tanzania. Ni tukio linalofungua mjadala kuhusu uaminifu, uadilifu, na misingi ya uongozi. Msigwa, aliyewahi kuwa kiongozi mashuhuri ndani ya Chadema, sasa anaonekana kama kiongozi aliyeshindwa kuhimili changamoto na kushikilia misingi ya chama chake. Hii ni fundisho kwa viongozi wengine kwamba uaminifu na uadilifu ni muhimu zaidi kuliko madaraka, na kwamba kiongozi bora ni yule anayesimama imara katika misingi na itikadi zake, bila kujali ugumu wa hali. Wanachama na wafuasi wa Chadema wanapaswa kuendelea kushikilia misingi ya chama na kuwapinga wale wanaosaliti kwa maslahi binafsi
1. Kula Matapishi Yake Mwenyewe
Peter Msigwa alishawahi kusema hadharani kwamba, endapo angehama Chadema, basi nyumba na mali zake zichomwe moto. Kauli hii ilionesha kiwango cha kujitolea na uaminifu wake kwa Chadema. Leo hii, kwa kuhama kutoka Chadema na kujiunga na CCM, Msigwa amekula matapishi yake mwenyewe. Hii ni ukosefu wa msimamo na uaminifu kwa maneno yake mwenyewe. Kula matapishi ni jambo linaloonekana kwa waoga tu; wale ambao hawawezi kusimama imara katika misingi na maamuzi yao, hasa wakati wa changamoto
2. Akili Ndogo na Kukosa Uvumilivu
Msigwa amedhibitisha kuwa yeye ni akili ndogo. Akili kubwa huwa na uwezo wa kuhimili changamoto zote nyakati zote, bila kujali ugumu wa hali. Katika maisha ya kisiasa, changamoto ni sehemu ya kawaida, na kiongozi mwenye akili kubwa anajua jinsi ya kuvuka vipingamizi bila kuhatarisha uaminifu na itikadi zake. Kuhama kwake Chadema kwa sababu ya kukosa nafasi ya uongozi inaonesha wazi kuwa alikosa uvumilivu na ujasiri wa kukabiliana na changamoto hizo
3. Usaliti kwa Watu wa Iringa
Kuhama kwa Msigwa ni usaliti mkubwa kwa watu wa Iringa waliomchagua na kumwamini kama kiongozi wao. Usaliti ni kitu kibaya mno kwa binadamu, kwani unavunja imani na uaminifu ambao umejengwa kwa muda mrefu. Wananchi wa Iringa walimtegemea Msigwa kwa kuwa alikuwa sauti yao, mtetezi wa haki na maendeleo yao. Kuhama kwake kunawaacha wananchi hawa wakiwa na hisia za kukatishwa tamaa na kuhisi kusalitiwa,
4. Kukosa Uadilifu na Uaminifu
Msigwa amekosa uadilifu na ni wazi hata huko CCM hatoaminika. Alikuwa ndani ya Chadema kwa kuwa alikuwa kiongozi, lakini ameshindwa kuendelea kuwa mwanachama wa kawaida baada ya kupoteza nafasi za uongozi. Hii inaonesha kuwa uaminifu wake kwa Chadema ulikuwa wa juu juu na ulitokana na maslahi binafsi ya madaraka. Uchu wa madaraka, ulafi na ulevi wa madaraka ni tabia zinazoonesha kiongozi asiye na msimamo na asiyeaminika. Wananchi na wafuasi wa Chadema walimwamini Msigwa kama kiongozi mwadilifu, lakini hatua yake ya kuhama inaonesha kuwa alikuwa na ajenda za kibinafsi zaidi kuliko maslahi ya watu
5. Kukosa Busara na Hekima
Msigwa amekosa busara na hekima. Angeweza kukaa kimya baada ya kuondoka Chadema, lakini kuanza kuukejeli Chadema ni kiwango cha juu cha upumbavu na upofu. Kiongozi mwenye busara na hekima anajua kwamba ni bora kuondoka kwa heshima bila kushambulia chama ambacho kilimlea na kumkuza kisiasa. Kejeli na maneno ya kukashifu yanayotolewa na Msigwa baada ya kuhama Chadema yanaonesha ukosefu wa heshima na unyenyekevu. Hii ni tabia inayovunja moyo na kuonesha kwamba hajafikiria kwa kina kuhusu athari za maneno na matendo yake kwa wafuasi na wanachama wa Chadema
Nanyaro EJ
Acheni watu wafanye maamuzi wanayoona yanawafaa , msilazimishe mitizamo ya watu ikawa Sana, by the CDM siyo kwamba ni chama Bora Sana kiasi kwamba mtu akiondoka kuna Jambo kubwa Sana la maana analipoteza. PeriodPeter Msigwa Mlaji wa matapishi yake

Je ndani ya Chadema ni safi? Rufaa yake mngeisikiliza na kuitolea maamuzi ingeleta maana. Mbowe naye asifanye CDM chama cha familia itamtesa sana vinginevyo aachie ngazi. kwani CDM haina succession plan km chadema ya Bob Makani na Mtei. Imepoteza misingi yakePeter Msigwa Mlaji wa matapishi yake

Peter Msigwa Mlaji wa matapishi yake