round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 659
- 2,251
Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia.
Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto nane lakini unakuta watu wanaamua kuzaa mtoto moja tu hadi watatu tu. INASHANGAZA !!
Mimi nina watoto wanne tu lakini laiti ningekuwa na uwezo zaidi ndoto ilikuwa ni 8 (Eight)
Kwetu tupo tisa asikwambie mtu raha ya familia muwe wengi aisee, nina ndugu yangu ni mlemavu lakini as a family tunamsaidia sijui ingekuwaje angekuwa peke yake, nina ndugu yangu moja tulikosana hatuongei sana lakini bado nina ndugu wengi tunaoelewana, Nikiwa na shida najua marafiki watanipambania kwa kiasi flani lakini ndugu zangu watanipigania kufa kupona