Pesa za Ruzuku shuleni

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,534
1,090
Mimi bado ninawasiwasi na serikali kama imejipanga kusimamia matumizi sahihi ya PESA hizo.

Tulisha ambiwa na Rais mstaafu wa mwaka huu kuwa Halmashauri kuna mchwa, unatafuna PESA hata sarafu. Sijui Magufuli amenunua sumu ya mchwa huyo? Kama atazigawa shuleni moja kwa moja bila kupita Halmashauri uwazi, usimamizi na ukaguzi wake ukoje ? Hata baadhi ya wakuu wa SHULE ni mchwa, tena wanakula PESA ya SHULE bila kushiba kama punda.

Lengo LA Rais ni jema wanafunzi wasome bure lakini mfumo WA usimamizi WA PESA hizi zipewe bodi za SHULE zikishirikiana MV a SMTS yaani school management teams. Japo mchwa hauta acha kula, lakini utapunguzwa kasi kama ubao uliopakwa oili chafu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…