Hi Members wote wa jamii forum!!!!!!! Naitwa Yusuf nasoma chuo cha uuguzi Manyara' napenda kuulizia kwa wale mnaosoma vyuo vya afya hususan vya Government, ethi pesa ya chakula huwa mnatoa shilingi ngapi kwa siku au kwa mwezi?
Naombeni msaada!!!!!!!!!!!!!!!!!!.....
.......