Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 299,167
- 751,820
Hili linaweza kuwa jipya kwako... Hata visivyo na uhai kwenye ulimwengu wa roho vina yoho..
Kimojawapo ni pesa ama fedha, ukipenda ziite shekeli.. Ni wazi umeshawahi kusikia watu wakisema.. Fulani bwana pesa imemkubali.. Ama Fulani bwana pesa imemkataa!
Licha ya pesa kuitana na kualikana lakini vilevile pesa huwa na tabia ya kukataa, kuondoka ama kutoroka..
Pesa inayoalikana ni ile inayofika kwa mara ya kwanza na kuona mazingira iliyopo ni salama kwake, kiafya na kiulinzi.. Im is haji hakim is hi a hilo hualika ndugu zake, jamaa na marafiki
Mialiko hiyo bila mhusika kujua hujikuta tu kila anachogusa kidogo ni pesa inaingia bila stress
Kuna masharti ya pesa lakini lililo kubwa ni kwamba pesa haitaki kelele.. Halafu pesa haitaki shobo na maringo.. Pesa inathamini sana kuheshimiwa na kutunzwa
Kwenye ulimwengu wa pesa pia kuna pesa zenye nuksi ama pesa za bahati mbaya, pesa za maagano zilizonenewa mambo hasi
Mtu hujikuta anapata pesa mfululizo na bila changamoto yoyote! Halafu kuna kapesa kiasi tu kanaingia na kuvuruga kila kitu
Kama pesa mwenyeji ikiwa na nguvu, kivuruge ataharibu na kuondoka bila kufanikiwa.. Lakini ikiwa haina ulinzi mkubwa kiroho pesa kivuruge itaharibu kila kitu mpaka mhusika kurudi ground zero
Ufanyeje sasa
Epuka pesa ya dili chafu
Epuka pesa ya udhalimu
Epuka pesa yenye damu hasa ya mtu
Epuka pesa ya mganga
Epuka pesa ya dhuluma! NK
Pesa za namna hiyo zikishindwa kushambulia uko wake zitamgeukia mmiliki
Si kila aliyefilisika ni mpumbavu.. Wengine hawajui nini kilitokea hadi wakafilisika ama biashara kufa!