Pep Guardiola: Dhana ya elimu na akili ya kurithi

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
2,281
3,974
Zlatan Ibrahimovic siku anaondoka Barcelona alisema “ Barcelona ni kama watoto wa shule wanafanya tu walichoambiwa kufanya ” hapa aliwalenga vijana waliotoka La Masio Leo Messi , Gerrard Pique , Sergio Busqutes , Xavi , Iniesta na wengine wengi . Yes Barcelona wana utaratibu wao muda mwingine ni bora uwafunge wakiwa katika mfumo wao kuliko washinde kwa namna tofauti…

Baada ya Yohan Cruyff kumaliza kuwafundisha Ajax Amsterdam alikwenda Barcelona kuwapa maujuzi , alikwenda akiwa na lengo lake hasa kusambaza utaratibu wa soka la Tik Tak , hapa alitaka kupandikiza sumu katika timu za vijana na ndio elimu yao mpaka leo . Barcelona ya kipindi hicho ilikua na mafundi wengi lakini wachache wao alikuwepo Pep Guardiola , Ronald Koeman , Hristo Stoichkov , Jose Mari Bakero , Michael Laudrup , Gheorghe Hagi na wengine wengi..

Sumu ya Tik-taka ilisambaa kwa vijana wote mpaka wakatamani na wao kua makocha , baadhi yao walijaribu lakini waliishia kufeli au kufaulu kawaida tu ila Pep Guardiola ndo mnyama . Ronald Koeman kapita ligi kadhaa na akachukua vikombe kadhaa na alifukuzwa pale Everton baada ya maji kuzidi unga ila sasa anatesa na Uholanzi , Michael Laudrup alifukuzwa pale Swansea City , Hristo Stoichkov hajafanya la maana mpaka sasa , Jose Mari Bakero bado naye hajafanya la maana mpaka sasa . Yaani ni kama ile Class 92 ya Ferguson wote wanaishia kuchambua tu na kuponda.

Pep amekua akiisumbua dunia kwa akili za kurithi kiufupi amerithi hajagundua kama Helenio Herrera na Catenaccio au Arrigo Sachi pengine sio kama Rinus Michels na Total Football , akili za kurithi zina madhara na faida zake huwezi chukua kila kitu lazima utaacha vingine . Ni ngumu sana kuujua utamaduni wa Zinadine Zidane huwezi kumatabiri na ndio maana akachukua UEFA mara 3 mfululizo , hata Diego Simione amuigundua dawa ya Barcelona ila ameshindwa kuijua ya Real Mdrid kwamba Galaticos watakutwanga na kukutafuna kwa staili uliyokuja nayo ….

Kila ligi aliyokwenda Pep amekua mnyama sana yaani vikombe vya ndani amechukua sanaa lakini akitoka nje ya hapo hana tumaini , tangu achukue zile UEFA mbili na Barcelona hajachukua tena wala kuingia fainali . Ipo ivi licha ya Barcelona kua vizuri sanaa kila eneo lakini Lionel Messi ndio kilikua kisu cha Guardiola , licha ya utamu wa Tik-Taka Messi ndiye aiyesimama juu ya kila kitu embu zikumbuke goli 4 dhidi ya Arsenal usije ukashau ile comeback dhidi ya Ac Milan baada ya kulala 2-0 San Siro na je vipi ile nusu fainali ya kwanza dhidi ya Real Madrid pale Santiago Bernabeu…

Tik Tak ya Pep Guardiola inaonekana kufaulu sanaa lakini ikikwama imekwama jumla wanakwama mpaka jamaa anakasirika ,akiwa na Barcelona mwaka 2009 ilifeli jumla pale Stamford Bridge kama sio wendawazimu wa refa tena ilikuja kufeli mazima mbele ya Inter Milan ya Jose Mourinho hata Roberto Di Matheo aliwatoa ushamba . Hata alipokua na Buyern Munich Carlo Ancelotti alimuondoa kwa aibu akaja Diego Simeone akamchomoa hata Luis Enrique na Barcelona yake walimuondoa . Hata pale Man City Leonardo Jardim na Ac Monaco walimtoa kamasi akaja Jurgen Klopp akampiga nje ndani kabla ya Tottenham kufanya yao…

Inshu ni kwamba sio kwamba Pep anatolewa UEFA ila anatolewa kwa stairi moja cha ajabu habadiliki , ni kweli jamaa anatesa sana na ananyanyasa lakini ukishamjua na ukiwa na wachezaji wa kiwango wala hakupi shida , Roy Hodson ameshamtambua Pep kama huamini we mpe hata Spurz uone . Pep anaisuka timu ikacheze na ikatawale lakini wakikwama anakua hoi , iko ivi jamaa amekariri maisha na amerithi akili za watu ndio maana anapokwama anashindwa kujiongeza …

Carlo Ancelotti amechukua UEFA na timu tofauti sababu hajakariri maisha , Giovanni Trapatton amechukua na timu tofauti wala sio mjinga , Jupp Huykens amefanya ivo katika timu tofauti , Jose Mourinho wala hana hiyana lakini huyu Pep kashindwa na wengine wachache . Pep amewahi msifia mchezaji wake kafunga goli zuri ila akamponda halikua katika utaratibu wake , Pep amekariri maisha narudia tena amekariri maisha…

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbabe wa Pep EPL kwa sasa ni Ole Gunar Solkjaer kamtandika mara tatu katika muda wa miezi miwili tu.

Mara nyingine Pep atakapopangiwa kukutana na Solkjaer itamlazimu kutoboa akipambana kutafuta mbinu za nitoke vipi.

Uko sahihi mkuu wangu maana kaweza kungonga Etihad two times kitu ambacho ni adimu sana kwa Pep kumfanyia hivyo home ground

Wamekutana mara nne tu msimu huu Ole akiwa na kikosi dhaifu kweli akamtandika pale Etihad 2- 1.

Pep akajibu mapigo kwenye EFL kwa kumfunga Ole OT 3-1

Pale Etihad Ole akaenda kujibu mapigo tena kwa kumkumbusha Pep kuwa Manchester is Red not blue.

Hatua ya mwisho Pep hata kufurukuta alishindwa maana alipigwa na kupigiwa mwingi.

Nasubiri Episode kati ya the Baby Faced Assassin na huyu mtaalamu wa Tik Tak

Nimependa sentence yako AKIWA NA KIKOSI DHAIFU uko sahihi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zlatan Ibrahimovic siku anaondoka Barcelona alisema “ Barcelona ni kama watoto wa shule wanafanya tu walichoambiwa kufanya ” hapa aliwalenga vijana waliotoka La Masio Leo Messi , Gerrard Pique , Sergio Busqutes , Xavi , Iniesta na wengine wengi . Yes Barcelona wana utaratibu wao muda mwingine ni bora uwafunge wakiwa katika mfumo wao kuliko washinde kwa namna tofauti…

Baada ya Yohan Cruyff kumaliza kuwafundisha Ajax Amsterdam alikwenda Barcelona kuwapa maujuzi , alikwenda akiwa na lengo lake hasa kusambaza utaratibu wa soka la Tik Tak , hapa alitaka kupandikiza sumu katika timu za vijana na ndio elimu yao mpaka leo . Barcelona ya kipindi hicho ilikua na mafundi wengi lakini wachache wao alikuwepo Pep Guardiola , Ronald Koeman , Hristo Stoichkov , Jose Mari Bakero , Michael Laudrup , Gheorghe Hagi na wengine wengi..

Sumu ya Tik-taka ilisambaa kwa vijana wote mpaka wakatamani na wao kua makocha , baadhi yao walijaribu lakini waliishia kufeli au kufaulu kawaida tu ila Pep Guardiola ndo mnyama . Ronald Koeman kapita ligi kadhaa na akachukua vikombe kadhaa na alifukuzwa pale Everton baada ya maji kuzidi unga ila sasa anatesa na Uholanzi , Michael Laudrup alifukuzwa pale Swansea City , Hristo Stoichkov hajafanya la maana mpaka sasa , Jose Mari Bakero bado naye hajafanya la maana mpaka sasa . Yaani ni kama ile Class 92 ya Ferguson wote wanaishia kuchambua tu na kuponda.

Pep amekua akiisumbua dunia kwa akili za kurithi kiufupi amerithi hajagundua kama Helenio Herrera na Catenaccio au Arrigo Sachi pengine sio kama Rinus Michels na Total Football , akili za kurithi zina madhara na faida zake huwezi chukua kila kitu lazima utaacha vingine . Ni ngumu sana kuujua utamaduni wa Zinadine Zidane huwezi kumatabiri na ndio maana akachukua UEFA mara 3 mfululizo , hata Diego Simione amuigundua dawa ya Barcelona ila ameshindwa kuijua ya Real Mdrid kwamba Galaticos watakutwanga na kukutafuna kwa staili uliyokuja nayo ….

Kila ligi aliyokwenda Pep amekua mnyama sana yaani vikombe vya ndani amechukua sanaa lakini akitoka nje ya hapo hana tumaini , tangu achukue zile UEFA mbili na Barcelona hajachukua tena wala kuingia fainali . Ipo ivi licha ya Barcelona kua vizuri sanaa kila eneo lakini Lionel Messi ndio kilikua kisu cha Guardiola , licha ya utamu wa Tik-Taka Messi ndiye aiyesimama juu ya kila kitu embu zikumbuke goli 4 dhidi ya Arsenal usije ukashau ile comeback dhidi ya Ac Milan baada ya kulala 2-0 San Siro na je vipi ile nusu fainali ya kwanza dhidi ya Real Madrid pale Santiago Bernabeu…

Tik Tak ya Pep Guardiola inaonekana kufaulu sanaa lakini ikikwama imekwama jumla wanakwama mpaka jamaa anakasirika ,akiwa na Barcelona mwaka 2009 ilifeli jumla pale Stamford Bridge kama sio wendawazimu wa refa tena ilikuja kufeli mazima mbele ya Inter Milan ya Jose Mourinho hata Roberto Di Matheo aliwatoa ushamba . Hata alipokua na Buyern Munich Carlo Ancelotti alimuondoa kwa aibu akaja Diego Simeone akamchomoa hata Luis Enrique na Barcelona yake walimuondoa . Hata pale Man City Leonardo Jardim na Ac Monaco walimtoa kamasi akaja Jurgen Klopp akampiga nje ndani kabla ya Tottenham kufanya yao…

Inshu ni kwamba sio kwamba Pep anatolewa UEFA ila anatolewa kwa stairi moja cha ajabu habadiliki , ni kweli jamaa anatesa sana na ananyanyasa lakini ukishamjua na ukiwa na wachezaji wa kiwango wala hakupi shida , Roy Hodson ameshamtambua Pep kama huamini we mpe hata Spurz uone . Pep anaisuka timu ikacheze na ikatawale lakini wakikwama anakua hoi , iko ivi jamaa amekariri maisha na amerithi akili za watu ndio maana anapokwama anashindwa kujiongeza …

Carlo Ancelotti amechukua UEFA na timu tofauti sababu hajakariri maisha , Giovanni Trapatton amechukua na timu tofauti wala sio mjinga , Jupp Huykens amefanya ivo katika timu tofauti , Jose Mourinho wala hana hiyana lakini huyu Pep kashindwa na wengine wachache . Pep amewahi msifia mchezaji wake kafunga goli zuri ila akamponda halikua katika utaratibu wake , Pep amekariri maisha narudia tena amekariri maisha…

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchambuzi mzuri, umenikumbusha makala za "Nyuma ya pazia" enzi hizo Mwanaspoti
 
Mkuu nimeupenda sana uchambuzi wako. Pep kunyanyua UEFA anahitaji kubadilika jambo ambalo si rahisi sana kwake.

Big up! ..👊👊👊..
 
"blaza"kama huu uchambuzi umetokana na kile unachokiona uwanjani jumlisha mtazamo wako,basi unaujua mpira.safi sana!
 
Ni kweli kabisa. Ila kwangu mimi pep ni zaidi ya kocha.

Heshima kwake.

komesha korona
 
Back
Top Bottom