Penzi likiwa jipya watu huwa wanajisahau

Penzi jipya tam sana, unatoa hela bila kuombwa coz hata yeye anakupa bila usumbufu, kila kitu "kinainekana" kipya.
 
Penzi jipya timing ya kila mmoja kumuingiza mwenzake kwenye mfumo.
Ila kwa mwanaume hakikishaunaonyesha msimamo wako frim the scratch, usiwe dhaifu
 
Kuna watu wana ufala flan, penzi jipya utasikia anamwagia mtu sifa kibao Huyu wa sasa kiboko. My friend mwanzoni watu wanaficha tabia zao halisi
Ulichokikosea katika kuongelea muktadha wa jambo lako hili, ni kutokuainisha ni aina gani ya penzi ulilokusudia kulisema.

Mapenzi yamegawanyika kama matongea ya ubwabwa: kuna penzi la ndoa, penzi la mchepuko, penzi la kisasi, penzi la kudanga nk nk, sa'sielewi ni penzi gani ulilolilenga hapo.

Yote kwa yote lakini kuna kitu hufichwa sana kuongelewa na wanaume kuhusu mapenzi, wanakificha kulinda hadhi na haiba zao na kitu hicho wengi huwafirisi kwa kukigharamikia bila kujali hadhi ya wenye hekima, mabahiri na wadwanzi, wajanja na wajinga, wote wakifika kwenye stage hiyo hupikika katika chungu kimoja.

Kitu hicho ni: 'penzi jipya', kwa lugha ya wazi ni kitendo cha kulala na mwanamke kwa mara ya kwanza, iwe kwenye ndoa ama danga.

Uthamani wa jambo hilo la kisaikolojia huwafanya wanaume kugharamika bila ya kupenda wala kulazimishwa, ukisikia: 'kwa gharama yoyote' hapo ndipo maana yake halisi!

Akishakupewa sasa ndipo akili zake hukaa sawa na kuuona upumbaf aliokwisha ufanya.

Hii siri nimetoa, wanaume hawapendi kuisikia mtu akiiongea, niaibu sana wanazofanya kwa hiarivyao ama wanalazimishwa kufanya kwa ajili ya kufanikiwa kupeata penzi jipya.
 
Penzi jipya full kubebishana calls ,texts nyingi kumissiana, wee ikipita muda kidogo, unatuma message asubuhi inajibiwa kesho yake, na online unamuona 🙄🙄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom