Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 281,350
- 731,771
Juzi kwenye bango la tangazo la msiba wa mwanamziki mkongwe King Kikii waliambatanisha na picha ya mama.. Hii ilikuwa ni aibu kubwa na Nilikuwa kituko cha karne! Wengi walihoji.. Jamani hata kwenye misiba!?
Leo tumepata janga pale Kariakoo baada ya jengo moja la ghorofa kuporomoka na kufukia watu wengi.
Shughuli ya uokozi bado inaendelea, lakini imeshathibitika kuna marehemu, majreruhi na manusura
Mpaka adhuhuri ni CHADEMA waliokuwa wametoa pole.. Hapa hakuna lawama kwakuwa kipaumbele kikubwa kwa sasa ni uokozi
Chondechonde tunawaomba this time muone haya.. Muone aibu.. Msije mkalitumia janga hili kkisiasa
Tutataka kuona picha za wahanga wa tukio husika na si mapichapicha kama lile alilobebeshwa mchungaji na marangi yasiyoeleweka
Ifike mahali tuwe na tafakuri ya kafanya nini, lipi na wapi.