Soko huria ? Kwenye nauli Kwa wamiliki Wa madaladala mbona kuna bei elekezi? Basi na wenye mabasi wapandishe ili iwe soko huria! Ujinga ujinga tu unaweza kupinga hiloWacha soko huria lifanye kazi, tuache umwinyi, uwezi kupanga nyumba nenda mahali unapoweza
Soko huria ? Kwenye nauli Kwa wamiliki Wa madaladala mbona kuna bei elekezi? Basi na wenye mabasi wapandishe ili iwe soko huria! Ujinga ujinga tu unaweza kupinga hilo
Kuna Mdau hapo juu kauliza swali la msingi!!!KAMA NI GHARAMA ZA UJENZI JE; KWANI HAYO MABASI YANAYOPANGIWA BEI ELEKEZI WAMILIKI WANAYAPATA BURE?Jenga yako ndio uanze kujipangia yote hayo. Hujui gharama za ujenzi zilitokea wap na yap yalimkuta mwenye nyumba. Uchumu huu wacha wenye nyumba nao wafaidi na kujivunia kujenga mapema.
Ushauri wako umejaa chenga chenga za uvunjaji wa amani yaani kweli ofis ya mtaa zinakabana mashati kwa kipato kidogo walicho nacho halafu wewe unapendekeza pia wapate hela za wanaopangisha si watu watauana kisa pesa.(ya kagera hayajafunza wengi aiseee)
Kuna Mdau hapo juu kauliza swali la msingi!!!KAMA NI GHARAMA ZA UJENZI JE; KWANI HAYO MABASI YANAYOPANGIWA BEI ELEKEZI WAMILIKI WANAYAPATA BURE?
Kapange kwenye daladala usisumbue wenyenyumbaSoko huria ? Kwenye nauli Kwa wamiliki Wa madaladala mbona kuna bei elekezi? Basi na wenye mabasi wapandishe ili iwe soko huria! Ujinga ujinga tu unaweza kupinga hilo
Soko huria ? Kwenye nauli Kwa wamiliki Wa madaladala mbona kuna bei elekezi? Basi na wenye mabasi wapandishe ili iwe soko huria! Ujinga ujinga tu unaweza kupinga hilo
Jenga yakoWELL SAID. NA PIA HAWA WA KUTAKA MIEZI SITA AU MWAKA NAO WABANWE.
UNAPENDEKEZA NYUMBA ZA WATU WAKATI UNAISHI NYUMBA YA KUMBANGA NA VOCKSWAGEN YA MIL 100Kutokana na bei holela ilivyo sasa Kwa wamiliki wengi Wa Nyumba za kupanga; pamoja na kujiamulia kupandisha bei kila wanapojisikia wakishilikiana na madalali;
Ni wakati sasa serikali kupitia ofisi za serikali za mitaa kote nchini kufanya yafuatayo:
1. Itoe tamko Kwa wamiliki wote Wa Nyumba za kupanga wapeleke taarifa za kupangisha Nyumba zao serikali za mitaa.
2. Serikali za mtaa itoe bei elekezi Kwa wamiliki kulingana na ubora/hadhi ya eneo.
3. Orodha ya Nyumba zitapatikana Kwa urahisi kuliko kutumia madalali matapeli wanaozungusha watu siku nzima.
4. Serikali ya mtaa itawatambua Kwa urahisi wageni na wenyeji kupitia utaratibu huu Kwa kuweka kibali maalum cha kuhama na kuhamia.
5. Nyumba zote zipate kibari cha kupangisha kupitia serikali za mitaa Kwa gharama nafuu. (Hiki kitaongeza mapato mfuko Wa serikali za mtaa na kijiji)
6. Kila mtu anayepanga Nyumba au chumba kuwepo na asilimia kidogo ibaki ofisini Kwa ili kutunisha mfuko!
7. Maelekezo ya matumizi ya fedha hizo yaamuliwe na baraza maalum la mtaa/kijiji Kwa kushilikiana na diwani na watendaji ili kutatua changamoto za eneo husika. Kwa mfano! (Kulipa walinzi shirikishi, wakusanya taka n.k)
*****************************
Mbali na hapo madalali wataendelea kupandisha kodi kila siku pasipo utaratibu pamoja na kukaribisha wezi pasipo kuwatambua.
MAISHA YAMEBANA KWELII MPWAA SI MCHEZOOO HUKOO ANA UWEZO WAKUFIKA WAMILIKI WANASERIKALI YAOKutokana na bei holela ilivyo sasa Kwa wamiliki wengi Wa Nyumba za kupanga; pamoja na kujiamulia kupandisha bei kila wanapojisikia wakishilikiana na madalali;