Pendekezo; Adhabu ya kumsimamisha Mbunge kuhudhuria vikao iondolewe

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,052
12,820
Wanajamvi.

Kwa mujibu wa katiba Mbunge ni mwakilishi wa wananchi wote wa Jimbo lake bungeni.

Mbunge yupo bungeni Kwa niaba ya wananchi wake wa Jimbo zima. NI msemaji wa wananchi bungeni.

Imekuwa haiingii akilini kuona kuna adhabu eti ya kumsimamisha Mbunge KUHUDHURIA VIKAO vya Bunge.

Adhabu hii inaenda moja Kwa moja Kwa wananchi wa Jimbo analotokea Mbunge na hivyo kuwakosesha nafasi ya kuwasilisha kero zao bungeni.

Napendekeza adhabu ya Aina hii isiwepo bungeni maana inatoa dalili kuwa Bunge Lina sheria za hovyo Sana.
 
Back
Top Bottom