Pedrollo 0.5 hp water pump haipandishi maji

Kaluluma

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
468
613
Habari za leo wakuu,

Nimenunua pedrollo 0.5 hp

water pump kwa ajili ya

matumizi ya kujaza maji

kwenye matenki ya matumizi

madogomadogo hapa

nyumbani lakini kila nikiwasha

na nikifanya primming naona

bado haiwezi kupandisha maji,

Yeyote aliyewahi kukutana na

changamoto kama hii

naomba msaada,

Nb: pump ni ile ya nje sio ya kuzamisha

Natanguliza shukrani
 
Habari za leo wakuu,

Nimenunua pedrollo 0.5 hp

water pump kwa ajili ya

matumizi ya kujaza maji

kwenye matenki ya matumizi

madogomadogo hapa

nyumbani lakini kila nikiwasha

na nikifanya primming naona

bado haiwezi kupandisha maji,

Yeyote aliyewahi kukutana na

changamoto kama hii

naomba msaada,

Nb: pump ni ile ya nje sio ya kuzamisha

Natanguliza shukrani
Pump ina uwezo gani.

Soma Q na H za pump weka hapa tukupe ushauri.

Kama huwezi piga picha ya lebo yake na useme urefu unaopandisha maji ni mita ngapi

NB: usinunue pump kwa kuangalia power na jina tu utaumia.
 
Habari za leo wakuu,

Nimenunua pedrollo 0.5 hp

water pump kwa ajili ya

matumizi ya kujaza maji

kwenye matenki ya matumizi

madogomadogo hapa

nyumbani lakini kila nikiwasha

na nikifanya primming naona

bado haiwezi kupandisha maji,

Yeyote aliyewahi kukutana na

changamoto kama hii

naomba msaada,

Nb: pump ni ile ya nje sio ya kuzamisha

Natanguliza shukrani
Nina maswali machache kabla ya kukushauri:-
1. Je ulifungiwa water lines za hiyo pump na wataalamu??
Kama ulifungiwa na wataalamu, je wali itest kama inafanya kazi vizuri??
2. Kabla ya kuinunua, je uliomba ushauri kwa wataalamu kutokana na urefu wa sehem unapotaka kupandisha maji??
3. Je uliifunga mwenyewe (ama na fundi maiko)??
Kama ndivyo, je unauhakika mliweka directions sahihi??
 
You should have tested it before installation. Kwa kutumia ndoo au jaba as well.

Most single phase non-submersible pumps ziko very straightforward kuoparate.

-ensure capacitor/control box termination
-observe inlet-outlet
-ensure firm water pipe connection especially kwenye inlet pipe. Kama kuna opening haitavuta maji. There will be loss of suction pressure.
-ensure rated suction lift. Kuna maximum ya depth ya kisima kwajili ya non-submersible pump i suction/fyonze maji in meters. Might be kina ni kirefu wakati pawa ya pump ndogo.

It looks a minor issue. Dunno why you stumbling!!
 
Habari za leo wakuu,

Nimenunua pedrollo 0.5 hp

water pump kwa ajili ya

matumizi ya kujaza maji

kwenye matenki ya matumizi

madogomadogo hapa

nyumbani lakini kila nikiwasha

na nikifanya primming naona

bado haiwezi kupandisha maji,

Yeyote aliyewahi kukutana na

changamoto kama hii

naomba msaada,

Nb: pump ni ile ya nje sio ya kuzamisha

Natanguliza shukrani
Unafanyaje hiyo priming yako na supply yako ni ya aina gani? Pump za kawaida hizi haziwezi kufanya kazi kama kuna "upepo" unaingia kwenye supply line na kwa ninavyoijua supply ya dawasco ni ndogo haiwezi kukidhi mahitaji ya pump so pump inapump kwa kasi kuliko supply, matokeo yake ni "upepo" ndani ya pump na kupoteza uwezo wa kusukuma, pia liki yoyote upande wa supply unaleta tatizo hilo. Unaweza kuliona hilo maji yatatoka kwa kukata kata ukiangalia upande wakutolea maji.

Katatua hilo ndo maana kama supply yako sio ya uhakika inabidi uweke matenki mawili moja chini ambalo linajazwa na supply mbovu kisha pump inachukua maji kutoka humo na kupeleka tanki la juu.

Pia of coz pump zina limit ya kupandisha kama ni juu sana. 0.5HP labda 50 meters kwa shida.

Kama unanyonya kutoka chini/kisima kuna mambo mengine ya kuzingatia, hauwezi kunyonya maji zaidi ya meter 7-8 bila ya kujali aina ya pump.
 
Pump ina uwezo gani.

Soma Q na H za pump weka hapa tukupe ushauri.

Kama huwezi piga picha ya lebo yake na useme urefu unaopandisha maji ni mita ngapi

NB: usinunue pump kwa kuangalia power na jina tu utaumia.
Hiyo hapo mkuu
IMG20231113130943.jpg
 
Unafanyaje hiyo priming yako na supply yako ni ya aina gani? Pump za kawaida hizi haziwezi kufanya kazi kama kuna "upepo" unaingia kwenye supply line na kwa ninavyoijua supply ya dawasco ni ndogo haiwezi kukidhi mahitaji ya pump so pump inapump kwa kasi kuliko supply, matokeo yake ni "upepo" ndani ya pump na kupoteza uwezo wa kusukuma, pia liki yoyote upande wa supply unaleta tatizo hilo. Unaweza kuliona hilo maji yatatoka kwa kukata kata ukiangalia upande wakutolea maji.

Katatua hilo ndo maana kama supply yako sio ya uhakika inabidi uweke matenki mawili moja chini ambalo linajazwa na supply mbovu kisha pump inachukua maji kutoka humo na kupeleka tanki la juu.

Pia of coz pump zina limit ya kupandisha kama ni juu sana. 0.5HP labda 50 meters kwa shida.

Kama unanyonya kutoka chini/kisima kuna mambo mengine ya kuzingatia, hauwezi kunyonya maji zaidi ya meter 7-8 bila ya kujali aina ya pump.
Primming nafanya kupitia secondary primming port iliyopo kwenye pump mkuu,

Supply yangu ni ya uhakika maana navuta maji kutoka kwenye tenki lililojazwa maji kutoka bombani ambalo urefu wake hauzidi hata mita tatu mkuu
IMG20231113130943.jpg
 
Primming nafanya kupitia secondary primming port iliyopo kwenye pump mkuu,

Supply yangu ni ya uhakika maana navuta maji kutoka kwenye tenki lililojazwa maji kutoka bombani ambalo urefu wake hauzidi hata mita tatu mkuuView attachment 2812589
Meter 3 kwenda juu (unanyonya) au usawa mmoja na tenki? Kama A au B?

A ndo njia rahisi zaidi kama ni B kuna chance kubwa haufanyi priming ya kutosha au 0.5HP haitoshi kunyonya(up) 3 meters, itabidi uchomeke bomba la maji kwenye priming port mpaka ianze kusukuma maji kwa uhakika, kisha utapoteza prime kila pump inapozimwa so ni shida, funga kwa style ya A.
Untitled Diagram.jpg
 
Kama utahitaji water pump ya solar za Simusolar check me Dm with fully 2 year warranty
 
Back
Top Bottom