Paye 11% kwenda 9% nani atanufaika

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Sijui hesabu zinavyo fanyika, lakini nawasiwasi hiyo 2% wanayo itaja kupunguzwa isiwaguse wote kutikana na formula inayo tumika .

Kwa sababu ukipiga hesabu kuna wengine wanalipa paye hadi 35% na sio hiyo 11%.

Naomba anaye kumbuka ile kanuni atusaidie hapa
 
Sijui hesabu zinavyo fanyika, lakini nawasiwasi hiyo 2% wanayo itaja kupunguzwa isiwaguse wote kutikana na formula inayo tumika .

Kwa sababu ukipiga hesabu kuna wengine wanalipa paye hadi 35% na sio hiyo 11%.

Inahitaji ufafanuzi zaidi
 
Level 1
Pension amount equal to 10% of the gross salary is not taxable
Hence
Taxable salary = Gross Salary – Pension amount
Level 2
Taxable salary that is equal or less than TZS. 170,000/= is not chargeable
Level 3
Taxable salary Between TZS. 170,000/= and TZS. 360,000/= is charged 11%
Level 4
Taxable salary Between TZS. 360,000/= and TZS. 540,000/= is charged 20% Plus tax from Level 3
Level 5
Taxable salary Between TZS. 540,000/= and TZS. 720,000/= is charged 25% Plus tax from Level 4
Level 6
Taxable salary above TZS. 720,000/= is charged 30% Plus tax from Level 5
 
Wewe ulitakaje??

ndugu yangu mimi sijui. let say nakatwa 19% hali Rais kasema itapungua kutoka 11% hadi 9%. Kwa hesabu za darasa la nne naona hapo sihusiki ndio maana nimeomba kusaidiwa. Sijui kama unanipata hapo Rich Pol?
 
Shukrani mpenda pombe, ina maana level 3 pekee yake ndio ina badilika? Pia hiyo hesabu ni ya zamani kwa sababu kisheria hajuna anaye lipwa kima cha chini 170,000
 
labda itakuwa ndio hivyo, maana hao ndio "walalahoi"
 
Kimsingi hamna la maana sana zaidi ya kupunguza makali kiduchu kwa watu wa kima cha chini. Tatizo la msingi linabaki pale pale kwamba tofauti ya mishahara kwenye shirika au idara moja kati ya mtu wa chini na wa juu ni kubwa mno. Nyerere aliweza kuhakikisha tofauti inakuwa ndogo.

Awamu zilizofuata waliondoa hilo ili malipo yaendane na cheo/elimu lakini tofauti imekuwa kubwa kupindukia.
 
Shukrani mpenda pombe, ina maana level 3 pekee yake ndio ina badilika? Pia hiyo hesabu ni ya zamani kwa sababu kisheria hajuna anaye lipwa kima cha chini 170,000
Hiyo 170,000 haikatwi kodi kwahyo kama unalipwa 200,000 utachukua 200,000 - 170,000=30,000 kodi itakatwa kwenye 30,000 tu
 
Maximum benefit ya punguzo ni 3800 tu kwa mwezi. Ni hivi rate ya 9% (zamani 11%) inakatwa kwa pato la 190,000 yaani kati ya 170,000 mpaka 360,000 sasa kwa kupugnuza hizo 2%, maximum saving ni 2%×190,000 kwa mwezi =3,800. Hii ni kwa wanaolipwa mshahara wa angalau 360,000 kwa mwezi kama upo chini ya hapo saving ni ndogo zaidi.
 
Pamoja na kuwa na level tofauti na tax tofauti usishangae watumishi wengi kama mawaziri ni tax Exempted
 
Mkuuleo kidogo nimeelewa kuhusu huu ukatwaji,ila naomba nikuulize kitu,izo level zimeishia level 6 tu? au kuna band nyingine mbele yake..maana daaah kodi ninayokatwaga kwakweli ni nyingi mnoooo.
 
Hizi formula ndio zingepigiwa kelele ziondolewe, sioni maana yoyote ya kupunguzwa eti asilimia 2
 
mpenda pombe umenifanya nimwelewe Pombe kuwa ndio maana unampend maana ni msanii.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…