Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,500
- 119,444
Usiwaamini wanasiasa, he will never attempt that anyway!
Magufuli ni mtu wa 'stunts'...
Mara kapiga simu kwenye TV..
mara apige simu tena ataleta pay slip
mara aende bank mwenyewe.....mradi kila siku ana 'new stunts'....
kila siku yupo kwenye headline...asipofukuza huyu kaibukia huku....
Magufuli ni mtu wa 'stunts'...
Mara kapiga simu kwenye TV..
mara apige simu tena ataleta pay slip
mara aende bank mwenyewe.....mradi kila siku ana 'new stunts'....
kila siku yupo kwenye headline...asipofukuza huyu kaibukia huku....
Nyani ngabu kumbuka hilo tukio lilitokea pale clouds tv ktk kipindi cha 360 siku ya tar.01/04/2016. Ukikumbuka siku hiyo tar.01April huwa na matukio gani hupati shida...!!
Taasisi ya Urais siku hizi! Mmmh! Kila mtu anajibwatukia tu..
Kwa mfano hata ukijua hizo stubs, wewe zinakusaidia nini? Will it change anything? How?
You always find a weak point to cling on so that you can remain relevant.. The Boss calls it 'stunt'!
'stunts'...umenikumbusha zamani nilikuwa mshabiki wa sinema za James Bond, nilijua kila kitu anafanya yeye!! kumbe kuna stunts wanaigiza pale pagumu asipopaweza!! asante The BossMagufuli ni mtu wa 'stunts'...
Mara kapiga simu kwenye TV..
mara apige simu tena ataleta pay slip
mara aende bank mwenyewe.....mradi kila siku ana 'new stunts'....
kila siku yupo kwenye headline...asipofukuza huyu kaibukia huku....
Upuuzi mtupu unaacha kufuatilia wapigaji mshahara upo kisheria.Na siye aliyepanga mshahara hata kama analipwa marupurupu ya milioni mia moja siyo kosa lake.Shida yetu majipu yatumbuliwe hata yamekaa katikati ya miguu.Rais Magufuli, wakati akiwa mapumzikoni huko Chato, iliripotiwa akinukuliwa kuwa akirudi Dar atatoa pay stubs za mshahara wake ili Watanzania anaowatumikia waujue.
Mpaka kufikia sasa, licha ya yeye kurudi Dar kwa zaidi ya wiki mbili sasa (niko tayari kusahihishwa maana siikumbuki vizuri tarehe aliyorudi), sijasikia wala kuona popote pale ambapo hivyo vitu alivyoahidi kuvitoa, kuwa kavitoa.
Naona hata watu walio wengi washasahau tena maana suala lenyewe hata halijadiliwi tena. Ni kama vile lishasahaulika....limekuwa upepo uliokwishapita.
Mimi hili suala siwezi kulisahau na msimamo wangu bado uko palepale. Watanzania walipa kodi wana haki ya msingi kabisa ya kujua pesa zao zinatumikaje.
Kwenye matumizi ya pesa za walipa kodi uwazi ni jambo la lazima.
Nasubiri kuziona hizo pay stubs za mshahara wa rais na asiishie hapo tu. Atuambie malipo yake yote yanayogharamiwa na walipa kodi.
Naamini yeye akifanya hivyo basi hata viongozi wengine wa umma nao wataufuata mfano wake.
Upuuzi mtupu unaacha kufuatilia wapigaji mshahara upo kisheria.Na siye aliyepanga mshahara hata kama analipwa marupurupu ya milioni mia moja siyo kosa lake.Shida yetu majipu yatumbuliwe hata yamekaa katikati ya miguu.
alienda kuchek balanceHivi pale CRDB alienda kufanya nini....?
Hoja hapa wala si mshahara kuwepo kisheria au la.
Hoja ya msingi hapa ni uwazi katika matumizi ya pesa za walipa kodi.
Na wala hatutaki kujua rais anautumiaje huo mshahara wake. Hilo ni suala lake na mkewe.
Tunachotaka kujua ni kiasi gani tunachowalipa hao watumishi wetu, basi.
Si zaidi, si pungufu ya hapo.
Kwani wewe Nyani Ngabu unalipwa kiasi gani kwa hii kazi unayofanya?