alafu anakupeleka mkoa gani ? ukahatarishe maisha ya hukoSalaam waungwana, Mh Magufuli ni kweli watu wazoefu katika nyadhifa mbalimbali hawahitaji semina elekezi
Ila kwa hawa vijana kama Mh Paul Makonda nadhani ni kinyume, watu kwa nafasi tofauti wamekuwa wakihoji kama anajua mpaka wa mamlaka yake.
Mtanzania anaruhusiwa kuwa popote na wakati wowote ilimradi havunji sheria na ikiwa atavunja hamna mwenye mamlaka ya kumfukuza bali kumuwajibisha kwa sheria ya kosa tajwa mfano makosa yanayohatarisha wana Dar es salaam ambayo yana namna ya kuyatreat
Kuuza madawa ya kulevya - zipo sheria za jina zenye adhabu zake na iwapo asipothibitishwa na mahakama kuwa hatiani hata kama ni shitaka la kutokuwa hatiani la 100 makonda hawezi mfukuza.
Kuuza vyakula vyenye sumu- ipo TFDA na wanasheria zao na namna ya kuyamaliaza,
kuingiza bidhaa feki-wapo TRA ,TFDA,TBS na wanazosheria za kuimaliza kesi bila kwenda mahakamani (compounding),
Naomba Nipate tafakuri yenu waungwana
Limbukeni kalewa madarakaSalaam waungwana, Mh Magufuli ni kweli watu wazoefu katika nyadhifa mbalimbali hawahitaji semina elekezi
Ila kwa hawa vijana kama Mh Paul Makonda nadhani ni kinyume, watu kwa nafasi tofauti wamekuwa wakihoji kama anajua mpaka wa mamlaka yake.
Mtanzania anaruhusiwa kuwa popote na wakati wowote ilimradi havunji sheria na ikiwa atavunja hamna mwenye mamlaka ya kumfukuza bali kumuwajibisha kwa sheria ya kosa tajwa mfano makosa yanayohatarisha wana Dar es salaam ambayo yana namna ya kuyatreat
Kuuza madawa ya kulevya - zipo sheria za jina zenye adhabu zake na iwapo asipothibitishwa na mahakama kuwa hatiani hata kama ni shitaka la kutokuwa hatiani la 100 makonda hawezi mfukuza.
Kuuza vyakula vyenye sumu- ipo TFDA na wanasheria zao na namna ya kuyamaliaza,
kuingiza bidhaa feki-wapo TRA ,TFDA,TBS na wanazosheria za kuimaliza kesi bila kwenda mahakamani (compounding),
Naomba Nipate tafakuri yenu waungwana
watz,tunaenda kuleeee!! hata Mkuu wa mkoa wa Mwanza,Mara,kagera,morogoro,shinyanga,nknk Hiv karibuni wakitoa tamko dizaini biyo basi watz watalazimishwa kwenda burundi sasa!! huyo MTU hajiamini jamani.asimamie Yale aliyoyaanzisha kwanza mbona anarukaruka kila siku?H
alafu anakupeleka mkoa gani ? ukahatarishe maisha ya huko
Swali la msingi kwa Makonda je hao ambao wanahatarisha maisha ya wengine wanapaswa kuish sehem gani ya Tanzania?Wanajamvi habari za muda huu.
Bwana Paul Makonda ni aina ya watawala wasiojua nini kinapaswa kufanywa na nini hakipaswi kufanywa na viongozi.Cheo cha ukuu wa mkoa ni kikubwa sana kwake kapewa wakati bado hajawa tayari labda umri,tabia au hata elimu vyote vyaweza kuwa sababu kuu.
Ni vyema wananchi tukapaza sauti zetu kukataa huu uzalilishaji wa demokrasia uliofanywa na mkuu wa nchi kwa kumteua mtu asiyekuwa na sifa hata za ubalozi wa nyumba kumi.
hahahahaa vichekesho saanaLabda tumuulize kwanza ni sehemu gani katika nchi hii wanapostahili kuhamia wanaohatarisha usalama wa wananchi??????
Elimu wakati wote uwa inajidhihirisha umuhimu wake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!