feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,595
- 14,878
Kwakwwli huyu kocha aliongea jambo la kweli kabisa. Baada ya Vyura leo kutufunga goli 1-0 kiongozi mkubwa wa simba anakuja hadharani akimtuhumu kipa kuuza mechi kutokana na matamshi yake. Jambo la kushangaza kiongozi huyu hakujitokeza kusema wamenunua mechi wakati kipa wa coastal aliponzawadia bao katika sare 2-2.
Hapa chini ni screenshot kwa utumbo aliongea. Kiongozi kama huyu ni wa kupingwa kabisa hatukatai kipa katika hizi mechi mbili anafanya makosa ya wazi ila alichofanya magori hakikubaliki.
Hapa chini ni screenshot kwa utumbo aliongea. Kiongozi kama huyu ni wa kupingwa kabisa hatukatai kipa katika hizi mechi mbili anafanya makosa ya wazi ila alichofanya magori hakikubaliki.