Mdau Makin JF-Expert Member Sep 5, 2014 767 207 Jan 15, 2016 #1 Gari ipo katika hali nzuri, wasiliana nasi kwa: +255767287941
McDonaldJr JF-Expert Member Sep 25, 2013 6,388 7,557 Jan 15, 2016 #3 Duh hata wauza bata bukini wanatoa taarifa zote sasa mkuu unauza gari kirahisi ivi.
B bunazi Senior Member Nov 24, 2014 116 90 Jan 16, 2016 #4 Huo utakuwa mkweche ndo maana hata picha unaona soni kuweka
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,981 4,166 Jan 16, 2016 #5 Sasa gari yenyewe ina kutu na haina vioo utamuuzia nani?
GIUSEPPE JF-Expert Member Dec 31, 2011 5,239 6,218 Jan 16, 2016 #6 Mdau Makin said: Gari ipo katika hali nzuri, wasiliana nasi kwa: +255767287941 Click to expand... Hali nzuri ndo hali gani? Weka picha na maelezo ya kutosha
Mdau Makin said: Gari ipo katika hali nzuri, wasiliana nasi kwa: +255767287941 Click to expand... Hali nzuri ndo hali gani? Weka picha na maelezo ya kutosha