Pata sandals nzuri za kiume

richenriques

Senior Member
Jun 6, 2015
188
33
sandals hizi zimetengenezwa kwa material tatu tofaut, juu zina material ya rubber na soft leather na soli yake ni material ya tairi za gari kama yale ya kobasi, sandals zimedizainiwa kumfanya mvaaji awe comfortable na zinadumu kwa mda mrefuu... Zinapatikana kwa 25000/=.. WhatsApp 0652140160
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…