Sebure,
jikoni na sebureni
Hivi ni sebure au sebule?
Unawezaje kuwa architect na hujui kuandika Kiswahili? Utaaminika vipi?
Nani kakwambia kuwa hiyo course inafundishwa kwa kiswahili??Hivi ni sebure au sebule?
Unawezaje kuwa architect na hujui kuandika Kiswahili? Utaaminika vipi?
Weka na ramani zake mkuu?+255 657 685 268 WhatsApp!
Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!
1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na mini stoo,
Choo na Bafu,
Veranda ya jikoni na sebureni
+255 657 685 268 WhatsApp!
Mkuu si umeelewa lakini?
Sikatai, tumemuelewa, lakini hili kwake ni tangazo la biashara. Unapojinadi kama architect halafu hujui ku spell hata kwa Kiswahili huyu mtu ni kwamba sio makini. Haya ni maneno ya fani yake, aina za vyumba kwenye nyumba, hajui kuziandika.
Anaweza kukuchorea kitu famba halafu yeye anaona ni jambo dogo tu. Hivi kwa nini mnadhani miradi yote ya majengo makubwa nchini wanachukua wachina?
Kuna shahada zingine mtu kapata lakini alighushi vyeti vya vidato. Shahada nyingine ni za nguo za ndani. Nyingine za mtandaoni.
Kuweza kuandika tangazo lako kwa ufasaha pia ni kipimo cha mwanzo cha weledi na taaluma.
Rubii uko salama eeMkuu si umeelewa lakini?
Mkuu wa nchi sijui mlimchagua je wakati naye ni mbere kwa mbere.Hivi ni sebure au sebule?
Unawezaje kuwa architect na hujui kuandika Kiswahili? Utaaminika vipi?
Mkuu wa nchi sijui mlimchagua je wakati naye ni mbere kwa mbere.