Pata ramani za nyumba za kisasa zinazotumia bati chache (60) na tofali chache (2000)

Drimhomz

Senior Member
Nov 30, 2016
120
80
+255 657 685 268 WhatsApp!

Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!

1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na mini stoo,
Choo na Bafu,
Veranda ya jikoni na sebureni

+255 657 685 268 WhatsApp!

697479034c85d15117aaaea46e946a7a.jpg
 
Yeye ni mtaalam wa lugha aliyofundishiwa course na siyo Kiswahili
 
+255 657 685 268 WhatsApp!

Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!

1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na mini stoo,
Choo na Bafu,
Veranda ya jikoni na sebureni

+255 657 685 268 WhatsApp!

697479034c85d15117aaaea46e946a7a.jpg
Weka na ramani zake mkuu?
 
Mkuu si umeelewa lakini?

Sikatai, tumemuelewa, lakini hili kwake ni tangazo la biashara. Unapojinadi kama architect halafu hujui ku spell hata kwa Kiswahili huyu mtu ni kwamba sio makini. Haya ni maneno ya fani yake, aina za vyumba kwenye nyumba, hajui kuziandika.

Anaweza kukuchorea kitu famba halafu yeye anaona ni jambo dogo tu. Hivi kwa nini mnadhani miradi yote ya majengo makubwa nchini wanachukua wachina?

Kuna shahada zingine mtu kapata lakini alighushi vyeti vya vidato. Shahada nyingine ni za nguo za ndani. Nyingine za mtandaoni.

Kuweza kuandika tangazo lako kwa ufasaha pia ni kipimo cha mwanzo cha weledi na taaluma.
 
Hulazimiki kununua ati. Kwa mwamko wa wengine inaonekana ameeleweka. Hata Rais alisema atajenga balabala na amaloli yote yatapita kule na tukamuelewa.
 
Tatizo la bongo ramani zinafanana sana, hakuna ubunifu. Unamwambia mchoraji unataka 'open kitchen with an island' haelewi! Ubunifu ni vitu vidogo tu kama kwenye ramani ya nyumba F. Nimependa paa lake. Sio mapaa yanakuwa yanafanana kutoka Dar mpaka Bukoba.
 
Mkuu wa nchi sijui mlimchagua je wakati naye ni mbere kwa mbere.

Alichaguliwa kwa sababu the vast majority ya Watanzania ni kama yeye, hawawezi ku spell hayo maneno kama "CCM mbere kwa mbere.... nimejenga kiromita erfu mbiri za balabala... muyakamatage marori ya muchanga wa makandalasi..."

Na hiyo changamoto ya mawasiliano aliyonayo inaathiri mpaka ujengaji hoja wake kwenye hotuba za kitaifa. Amewauliza Watanzania kama wamewahi kuona mbuzi au kondoo amekula witi wa mwenzie hata kwa bahati mbaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom