Pata kazi bora ya dirisha na milango ya aluminium kwa bei nafuu

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,982
2,930
Je unajenga au unahitaji kuweka aluminium kwenye yako.
Tunatengeneza na kufunga aluminium kwa bei nafuu.
Unaweza kutuita tukakupigia gharama za vifaa ukanunua vifaa tukakutengenezea hapo hapo site kwa makubariano ya ufundi.
Au tunaweza kukufanyia kazi nakuja kukufungia.
Tutakufikia mkoa wowote Tanzania, tunakuja na mashine zetu na kufanya kazi.
Kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa
+255 758 358 580
Ofisi zetu zinapatikana boko basiaya karibu na kituo cha msikitini

Karibu sana
7f1c9cd07eabb6911541383d169777a6.jpg

5441de8db4d668e68f06afb98429d830.jpg

0009616850e18c9379bebafb8e237ac5.jpg

4c0650ca830e52d57a5adb05d031666d.jpg
 
Mi nahitaji madirisha ya aluminium .jumla yake ni square meter 34.49 je itakua bei gani. Site iko Mbezi luis
 
Mi nahitaji madirisha ya aluminium .jumla yake ni square meter 34.49 je itakua bei gani. Site iko Mbezi luis
Itakuwa 3,800,000 mpaka kupachika.
Kioo mm5, materials Emirates au Bn cm8.
Karibu sana na samahani kwa kuchelewa kukujibu ila tunaweza ongea zaidi
 
Hilo dirisha la kwanza kabisa ni bei gani kwa dirisha la 5*4
 
Kazi nzuri.

Vp mmesajili kampuni au?

Naomba pia kujua ofisi yenu ilipo

Hatujaisajili kama kampuni matarajio yetu mwaka 2018 tutasajili, bado tunafanya kama workshop tu.
Workshop yetu iko wazo msikitini kinondoni, dar es salaam.
Tunapatikana kwa namba +255 758 358 580/ 0766639727.
Karibu sana
 
Hivi mkuu naweza kupata design ya Nondo ziwe nje halafu vioo ndani. Nyumba ipo karibu na uwanja mkuu wa mpira mkuu tena maeneo ya golini.
 
Hivi mkuu naweza kupata design ya Nondo ziwe nje halafu vioo ndani. Nyumba ipo karibu na uwanja mkuu wa mpira mkuu tena maeneo ya golini.
Yah inawrzekana mkuu we mwambie atakayetaka kufitisha nondo aziweke kwa nje inawezekana tu haina tatizo.
 
Dirisha kama hili 5*6 sh ngapi? na 4*5 sh ngapi? Vidishirisha vidogo vya juu vya choo sh ngapi?
405000 kwa 270,000 vidirisha vidogo haviwez kuwa na hizo vent ila 60,000-70000
Material aina ya emirates, BN au fomeka na kioo mm5
 
Back
Top Bottom