Papa Francisco ahudhuria mkutano wa nchi Tajiri G7 atatoa Mada kuhusu Akili Bandia AI. Tanzania tusifungie Mitandao Dunia ni Kijiji!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,046
164,348
Baba Mtakatifu Papa Francisco aketiye Kitini pake mtume Petro anahudhuria mkutano wa Nchi tajiri za G7

Papa Francisco atatoa mada kuhusiana na Akili Bandia yaani Artificial intelligence AI

Source: BBC

UVCCM eleweni hii ni Dunia ya Sayansi na Teknolojia
 
Tajiri Papa aliyewekeza vitega uchumi dunia Nzima kwenye mashule ,vyuo ,hospitali Bora nchi Zote duniani ikiwemo Marekani ,Ulaya nk anakutana na matajiri wenzie kuongea
 
Baba Mtakatifu Papa Francisco aketiye Kitini pake mtume Petro anahudhuria mkutano wa Nchi tajiri za G7

Papa Francisco atatoa mada kuhusiana na Akili Bandia yaani Artificial intelligence AI

Source: BBC

UVCCM eleweni hii ni Dunia ya Sayansi na Teknolojia
Huyu ni mmoja wao kama vile biblia inamtambua.
Inasemwa hayupo, naye yupo.
Nafikiri atatoa sii mada tu bali na miongozo kadhaa maana kwa hadhi yake yupo juu ya wafalme wote wa dunia.

Ufunuo wa Yohana 17:9-11
[9]Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke huyo.
And here is the mind which hath wisdom. The seven heads are seven mountains, on which the woman sitteth.
[10]Navyo ni wafalme saba. Watano wamekwisha kuanguka, na mmoja yupo, na mwingine hajaja bado. Naye atakapokuja imempasa kukaa muda mchache.
And there are seven kings: five are fallen, and one is, and the other is not yet come; and when he cometh, he must continue a short space.
[11]Na yule mnyama aliyekuwako naye hayuko, yeye ndiye wa nane, naye ni mmoja wa wale saba, naye aenenda kwenye uharibifu.
And the beast that was, and is not, even he is the eighth, and is of the seven, and goeth into perdition.
 
Back
Top Bottom