Habari wana Bodi:
Naomba kujulisha umma wa Watanzania kuwa wale watoto watukutu wanaovamia majumba na maduka wamezuka tena mitaa ya Kijitonyama! Dakika 20 zimepita wamepita mitaa ya Kijitonyama karibia na Mesuma! Nimekutana nao nikiwa nakatiza mitaa hiyo! Mkuu wa wilaya na kamati yake ya Ulinzi na usalama! Salaam toka kwa vijana hao wa Panya road: nadhani wanatokea mitaa ya Tandale : Nawasilisha!!