IZENGOB
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 323
- 317
Tukio hili limetokea leo saa 3 usiku Mbagala mwisho na shuhuda wa tukio hilo nikiwa mimi mwenyewe.
Nikiwa njiani narudi nyumbani kulitokea taharuki kubwa baada ya tetesi kusikika kuwa Vijana watukutu maarufu kama PANYA ROAD wamevamia stand ya Mbagala wakifanya wakipora mali na kupiga watu hovyo ndipo wananchi walianza kukimbia huku na kule kuokoa maisha yao.
KILICHONISHANGAZA
Nikiwa kwenye foleni nimeshuhudia Trafiki waliokuwa zamu wakitimka mbio huku wakivua kofia na mashati yao meupe na kubaki na nguo za ndani maarufu kama sing'lendi.
Swali nalojiuliza hawa askari wetu wanashindwa hata kufanya upepelezi wa mwanzo kujua adui yuko upande gani,ana siraha gani na atakabiliana naye vipi.