Panya Road 200 wanyongwa hadharani DRC

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
3,075
4,596
Hawa vijana wahalifu waliokuwa wanafanya uhalifu Kinshasa na miji mwingine ya DRC wamenyongwa hadharani: kunyongwa maana yake kuning'inizwa kwa kwamba.
Well,ndio habari yenyewe. Walikuwa wanafanya uhalifu kwa kutumia visu,mapanga,bisbis.
Of course kule DRC hawaitwi "Panya Road"
Kule wanaitwa "Kuluna".
Wamenyongwa na sasa Watetezi wa Haki za Binadamu,I understand,are working overtime,kusema kwamba wanasikitika hawa vijana wapole wameuawa.
 
MKuuuu HAWA WAFEE TYUUU MKUUU

NIV NILIKUWA KINSAHSAAA AISEE NILIUMIA SANA

SIKUAMINI N KINSHASA NILIOIACHA 2023 MKUU YAAN MBAYA WANATEMBEAA NA WEWE WANACHEKA NA WEWE KUMBE MBELE KUNA MASHETANI WAKUU WANAKUSBIRIA SINA HAMU WALITOKA NA SIMU YANGU

BAHATI NA TABIA SUTEMBEI NA HELA NYINGI NIKIWA NJE MITAA.N SINA HAMU NAO
 
Na walivyojua wanalia utadhan wao walikua na haki ya kuua tu sio nao kuuawa
 
Hawa vijana wahalifu waliokuwa wanafanya uhalifu Kinshasa na miji mwingine ya DRC wamenyongwa hadharani: kunyongwa maana yake kuning'inizwa kwa kwamba.
Well,ndio habari yenyewe. Walikuwa wanafanya uhalifu kwa kutumia visu,mapanga,bisbis.
Of course kule DRC hawaitwi "Panya Road"
Kule wanaitwa "Kuluna".
Wamenyongwa na sasa Watetezi wa Haki za Binadamu,I understand,are working overtime,kusema kwamba wanasikitika hawa vijana wapole wameuawa.
Aise..!😞😞
 
This is nice, who killed by panga will be vice versa
MKuuuu HAWA WAFEE TYUUU MKUUU

NIV NILIKUWA KINSAHSAAA AISEE NILIUMIA SANA

SIKUAMINI N KINSHASA NILIOIACHA 2023 MKUU YAAN MBAYA WANATEMBEAA NA WEWE WANACHEKA NA WEWE KUMBE MBELE KUNA MASHETANI WAKUU WANAKUSBIRIA SINA HAMU WALITOKA NA SIMU YANGU

BAHATI NA TABIA SUTEMBEI NA HELA NYINGI NIKIWA NJE MITAA.N SINA HAMU NAO

Kwa taarifa za uhakika zilizopatikana tarehe 21 Januari, 2025 ni kwamba hakuna hata mtu mmoja ambaye ameshanyongwa kuhusiana na suala hili. Watu wote kabisa waliohukumiwa kunyongwa kutokana na Kesi hii bado wapo hai huko magerezani.

Ni kweli kwamba Hukumu hiyo bado haijatekelezwa. Vijana hao bado hawajanyongwa isipokuwa wamehamishwa kutoka Kinshasa na wamepelekewa kwenye gereza lingine nje ya mji huo, gereza lenye ulinzi mkali zaidi na lenye mateso makali zaidi.

Aidha, kwa taarifa za uhakika zilizopo ni kwamba kabla ya vijana hao hawajahamishwa gereza, wapo baadhi ya vijana hao Mawakili wao tayari walishawasilisha Rufaa katika Mahakama za juu ili kupinga Hukumu hiyo. Katika msingi huu, hao vijana waliokata Rufaa automatically wanakuwa wamekosa sifa za kisheria za wao kuweza kunyongwa, Aidha, hata hao Wanyongaji nao wanakuwa hawana uhalali wowote ule wa kikatiba au wa kisheria wa kuweza kutekeleza Hukumu hiyo ya kuwanyonga hao vijana waliokata Rufaa kabla ya kusikilizwa kwa Rufaa zao Kwanza.

Nafikiri huyo Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ametoa taarifa hiyo kwa umma kwa lengo maalumu la kuwatisha Vijana hao pamoja na kuwatisha Watu wengine waliopo uraiani ili wasiweze kufanya uhalifu mbaya kama huo, lakini ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba kiuhalisia Serikali ya Congo DR wala haitaweza kuwanyonga Watu wote hawa kwa idadi kubwa namna hiyo. Tangazo hilo la Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ni Kama Serikali ya huko inajaribu kufanya Propaganda za Vitisho (Mind Control Tactics) ili kuwatuliza Watu hususani vijana wasiendelee kujihusisha na vitendo vya uhalifu kama hivyo.
 
Hawa vijana wahalifu waliokuwa wanafanya uhalifu Kinshasa na miji mwingine ya DRC wamenyongwa hadharani: kunyongwa maana yake kuning'inizwa kwa kwamba.
Well,ndio habari yenyewe. Walikuwa wanafanya uhalifu kwa kutumia visu,mapanga,bisbis.
Of course kule DRC hawaitwi "Panya Road"
Kule wanaitwa "Kuluna".
Wamenyongwa na sasa Watetezi wa Haki za Binadamu,I understand,are working overtime,kusema kwamba wanasikitika hawa vijana wapole wameuawa.
Kuluna ni wabaya sana hata panya road cha mtoto /
 
Kuluna wamewaua madereva wa matruck ya kwenda DRC kutoka Daslsm Watanzania mpaka ilipelekea madereva kugoma miezi kadhaa iliyopita..
 
Hawa vijana wahalifu waliokuwa wanafanya uhalifu Kinshasa na miji mwingine ya DRC wamenyongwa hadharani: kunyongwa maana yake kuning'inizwa kwa kwamba.
Well,ndio habari yenyewe. Walikuwa wanafanya uhalifu kwa kutumia visu,mapanga,bisbis.
Of course kule DRC hawaitwi "Panya Road"
Kule wanaitwa "Kuluna".
Wamenyongwa na sasa Watetezi wa Haki za Binadamu,I understand,are working overtime,kusema kwamba wanasikitika hawa vijana wapole wameuawa.
Kulikuwemo na binti mmoja mle nasikia
 
Back
Top Bottom