Pancho Latino alipiga biti ya Dar Stand Up ya CHID BENZ

central midfielder

Senior Member
Apr 14, 2023
146
215
Watu wanasema sana kuhusu ile biti ya Dar Stand Up ya CHID BENZ. Ambayo ilinyongwa na Marehemu Pancho Latino ni biti kali sana,Pia Rashid alikuwa kwenye prime yake.

Zikitajwa biti alinyonga Latino zinatajwa nyingi lkn Dar Stand Up inatajwa zaidi,Sio kitu kibaya lakini.

Lakini huyu jamaa kuna biti ya jamaa wanaitwa wakacha ngoma inaitwa HERE WE GO. Aiseeee🙌🏻🙌🏻🙌🏻

Kwenye hiyo biti ule mkono ulikuwa wa levo zingine kabisa lile dundo hadi leo sijaona tena kwa Producer wa sasa kwenye HIP HOP labda nirudi kwenye midundo ya Duke Tachez.

Wakacha HERE WE GO, by Pancho ile ni laaana🙌🏻🔥 Na Wakacha sijui wameenda wapi?
1728928634548.jpg



Rest Easy Latino,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom