Pampu za Solar kwa kilimo cha uhakika

Jun 25, 2022
28
27
Solar water pump, zinapatikana kwa bei ya punguzo.
Ili kujua bei na pampu inayokufaa tupe maelezo yafuatayo
-Aina ya chanzo cha maji.
-umbali toka chanzo hadi maji yapohitajika kufika.
-mwiunuko upo au haupo,
-urefu wa kisima .
-na matumiz ya kilimo au matumiz ya nyumbani.
Kumbuka pampu zetu zinatumia Solar na pia umeme wa kawaida .
Visima virefu hadi mita 290.
0.75hp hadi 4hp.
0747591578call/whatsapp.
Tupo Dar es Salaam.
 

Attachments

  • IMG-20241005-WA0002.jpg
    207.6 KB · Views: 15
  • IMG_20241006_212347.jpg
    156.7 KB · Views: 16
  • IMG_20241006_211100.jpg
    98 KB · Views: 20
Weka contact zako ili wadau wako tukufikie kiurahisi
 
Duuu! Kumbe tunapigwa huku 4hp ni 100000/= ?nitakutafuta
 
Habari,namba nimeeka apo ili unicheki kuna details nitazihitji ili nijue pampu ipi inakufaa then nikupe bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…