Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 5,827
- 11,836
Wakuu sina ndoto ya kuja kuwa Rais hata kwa dk1 sina.Msije mkaniteka bure Nikamuacha mke wangu akiwa bado mbichi kabisa.
Mara zote huwa nafikri kama ningepata nafasi ya kuwa rais wa nchi hii basi ningefanya mengi sana makubwa kwenye hili Taifa mengi sita yesema nitasema machache tu tena yatakayo wahusu wananchi wote hasa wa chini.
*AFYA/MATIBABU BILA MALIPO.
Hii haihitaji kupingwa nchi hii ina mamali mengi sana kubeba gharama zote za matibabu ingewezekana kabisa.
*ELIMU KUBORESHWA NA KUFUTA BAADHI YA MASOMO NA KULETA MITAALA MIPYA.
Ukweli elimu tuliyonayo tofauti na kukalilishwa haitusaidii kabisa kwenye maisha ya nje na ajira.Mifano tunayo mingi tu. hivyo ningeboresha na kuleta wakufunzi toka china na israel hasa sector za kilimo na ufugaji kwa vyovyote tungeweka ubia nao hawa jamaa. N kwa upande wa teknolojia ningeleta wabobezi toka nchi husika.
*KUPUNGUZA MAWAZIRI NA KUONDOA NAFASI YA WAZIRI MKUU.
Kuwa na utitiri wa mawaziri haina maana kwamba mawaziri 9 ama 13 hawezi kufanya kazi kwa weledi haiwezekani unakuwa na baraza la mawaziri la watu25+ na kila waziri anapiga dili kadiri anavyo weza.
Sijawahi ona umuhimu wa kuwa na waziri mkuu basi akiwepo waziri mkuu makamu wa rais asiwepo.Kodi za wana nchi zinatumika vibaya sana.
*KUWAPA SADAKA WANANCHI YA KUNYONGA MAFISADI KILA MWISHO WA MWAKA.
Wote mnajua dawa ya kukomesha mafisadi ni kuyanyonga tu.Nchi nyingi zilizoendelea huwa wanatumia hii njia kupambana na ufisadi.
*LITAJENGWA GHALA KUBWA SANA KWA AJIRI YA KUHIFADHIA PEMBE ZA NDOVU(MENO YA TEMBO)
Haingii akilini hata siku moja kwenye utawala wangu mimi kama rais unishawishi eti meno ya tembo yawe yanatekezwa ukiuliza yana madhara gani yakihifaziwa hawana majibu. Hii ni kwa ajiri ya kumbukumbu kwa vizazi vijavyo yangehifadhiwa maana miaka 100 ijayo si haba tukawa hatuna kabisa tembo hata mmoja heri watoto wenu wananchi wangu wawe wanaenda hata kwenye magahala kuangalia namna meno ya ndovu yalivyokuwa baada ya kutoweka kabisa.
*MWENGE WA UHURU BYEBYE HADI MAKUMBUSHO.
Siitaji kueleza zaidi sijawahi ona faida ya mwenge kuzungushwa nchi nzima.
*KAMA TAIFA TUNGEKUWA NA SIKUKUU MOJA TU NA SIKU HIYO KILA MWANANCHI ANGEPEWA KG5 ZA NYAMA POLI.
Ni muhimu sana mwananchi akajivunia kwa kuwa na mbuga za wanyama nchini kwake si dhambi walau kwenye SIKUKUU YA UHURU kila mwananchi akajipatia kitoweo cha nyma pori. Sikukuu hii ingeendana na mkesha mzito wa kitaifa na kesho yake kama taifa rais ningekaugua dhana mbalimbali za kisasa zilizo tengenezwa na wa Tanganyika wenzangu. Siku hii ningeifanya kuwa siku maalumu ya maonyesho mbalimbali na sio kubebesha wanajeshi wetu magogo na kuvunja matofari.
*NI LAZIMA KILA MWANANCHI AFANYE KAZI HII NI PAMOJA NA MAGERAZANI.
Hapa ningehakikisha kila kijana anafanya kazi yoyote halali ya kumuingizia kipato.Serikali yangu ingeandaa kikosi maalumu cha kupita mtaa kwa mtaa kijiji kwa kijiji kukusanya vijana wote ambao wamepigiwa kura na wanajamii wa eneo husika kuwa hawafanyi kazi.
Vijana wangepelekwa gerezani wakafungwa siku3 bila kula halafu viboko 7 daily. Baada ya hapo wanapelekwa mashambani kulima kama watumwa. Ningeweka mkazo kuwa heri kijana afie shambani akilima kuliko afe getoni kwa kumeza viagra akisubiri kufanya uzinzi.
Wafungwa ningeboresha sana mazingira yao na kila mfungwa angekuwa na room yake kila weekend mke wake anaenda kupigwa machine hii ni lazima kwa mwanamke ambae mme wake alifungwa akiwa kwenye ndoa.
Hata kama itokee baada ya mmeo kufungwa ukaolewa na mwanamme mwingine bado isingekusaidia kitu laZima weekend uende kwa mmeo ukapigwe machine.Pamoja na ofa hii kwa wafungwa bado wangelima mno na kuzalisha chakula kingi mno hakuna askari magereza angechukia kazi yake maana wangelipwa vizuri mno na wafungwa kamwe wasingeteswa.
Ni makosa makubwa tu ya mfungwa ndo yangemfanya aende gerezani zaidi ya miaka 10 mfano mbakaji kumfunga miaka 30 kisa upwiru wa siku moja sio sawa . Huyu mbakaji angelitandikwa fimbo tisa daily halafu kwenda shamba kulima daily kwa miezi3 tu anarudi uraini.
Haingii akilini mbakaji afungwe miaka30 halafu fisadi yeye yupo uraiani anakula maisha kwenye utawala wangu hii haipo.Wafungwa wote wangelipwa mshara kulingana na mapato ya gereza lao na pesa yote kutunzwa hadi siku siku anakuwa huru ni % chache tu angepewa mke wake.
*WANANCHI WANGU NINGEWASIDIA SANA KUWAONDOLEA WAJASIRIAMALI WA DINI.
Hili nisingelifumbia macho kamwe kuona wananchi wangu wanaibwa kwa mgongo wa dini Amani inayotangazwa makanisani ingetangazwa na serkali kwa vitendo.
*KWA SABABU NINGESIMAMIA VIZURI MALI ZA TAIFA HILI KILA MWANANCHI ANGELIPWA MSHAHARA HATA KAMA NI KIDOGO.
Nasemaje ni kichaa pekee ndo anaweza pinga kuwa hii nchi ikisimamiwa vizuri wanachi wake wanaweza lipwa kabisa. chukulia gadafi yeye alikuwa na mafuta tu lakina aliweza kuwaozesha vijana wote na kuwajengea nyumba.Nchi yako hii mwananchi yenye madini kama Tanzanite,dhahabu,alimasi,kopa,shaba nchi ina gesi makaa ya mawe ina maziwa,bahari na mito nchi yako hii ina mbuga za wanyama kila kona ya Tanganyika ina mistu lukuki.Nitashindwa vipi kuwalipa na unajuwa wazi kabisa kila fisadi atanyongwa na hii haina mjadala kabisa.
*NITAHAKIKISHA HAKUNA SHIRIKA LOLOTE LINAKUJA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU.
Heri nife kuliko kukubali haya mashirika yanayo miminika kuja kwa mgongo wa kutetea haki za binadamu kumbe wanatetea ushoga,ufeminist na haki za wanawake .
Ijurikane kuwa kwenye halimashauri ya kichwa changu inantambua wazi kabisa shoga hana haki ya kuishi.Hili ningeliacha kwa wanachi tu wadili nao hata kama wakimchoma moto kama wezi ni sawa tu na nitabariki.
***MWISHO
Wafanya kazi wa serkali wangeishi mazingira mazuri mno na mishahara ingekuwa minono. haya ni baadhi tu.
#kwa bahati mbaya siwezi kuwa rais asee