LGE2024 Pamoja na kudaiwa kushinda Uchaguzi kwa zaidi ya 100% Wanaccm Wanaona aibu, hawashangilii

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Chadema hakujipanga na uchaguzi hata lisu aliwambia ukweli Sasa wewe chawa wa Mbowe utasema Nini au huko chadema machawa mnaingia kwenye kamati za chama?
Kutojipanga kwa CHADEMA kwa uchaguzi ndio kukahalalisha kuandikisha hadi wafu na watoto wa shule, kuua wagombea wa upinzani hadi kuzuia kuapisha mawakala wa upinzani?
Kupenda CCM lazima uwe mnufaika, mpumbavu au mshirikina. Wewe uko wapi hapo?
 
Kwaiyo wewe unataarifa zaidi ya makamu mwenyekiti kama ni hivyo basi hicho sio chama ni genge la wahuni.
Hapana tatizo lako kiungo unachotumia kufikiria kina walakini maana siyo ubongo, hapa hata Nchimbi kakaa kimya kwanza anasukulizia upepo upite ila juha utakukuruka
 
Kutojipanga kwa CHADEMA kwa uchaguzi ndio kukahalalisha kuandikisha hadi wafu na watoto wa shule, kuua wagombea wa upinzani hadi kuzuia kuapisha mawakala wa upinzani?
Kupenda CCM lazima uwe mnufaika, mpumbavu au mshirikina. Wewe uko wapi hapo?
Hata hayo ilibidi mjipange kayazuia hata kama sera na mipango yenu ingekuwa inaeleweka Kwa raia basi wange kuwa tayari kufa kwaajiri ya chadema yenu kama 2015
 
Hata hayo ilibidi mjipange kayazuia hata kama sera na mipango yenu ingekuwa inaeleweka Kwa raia basi wange kuwa tayari kufa kwaajiri ya chadema yenu kama 2015
Kweli nimeamini hutumii ubongo kufikiri, hii ni hoja ya machangudoa na vibaka wala siyo watu wanaozungumzia mustakabali wa taifa. Yaani muibe uchaguzi dhahiri shahiri, muue halafu unasrma wananchi wafe kwa ajili hiyo?

Kupenda CCM lazima uwe mpumbavu aisee
 
Kwa hiyo pamoja na kukiri kwako kwamba wananchi wengi wameamua kususia uchaguzi na kuwaachia CCM, ushindi bado ni asilimia 99 ya Wapiga kura wote milioni 30+ tuliotangaziwa kuwa walijiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa? Think twice.
 
Kwaiyo makamu wenu muongo?
 
Kuna mambo unatamani kuongea .ila ukifikiria watoto wako bado wadogo unakaa kimya.

Ila WALIMU hongereni kwa kazi...
😷😷😷😷
 
Keyboard warriors wanajifariji kwa matusi na kejeli kwenye mitandao.Uchaguzi haufanyiki kwenye mitandao.Mpo mbali na uhalisia.Hamna wigo mpana Nchi nzima. Lissu anajaribu kufanya postmortem ya kuwaamsha kwamba hamkujitayarisha lakini mnakaza mafuvu kwa matusi na visingizio.
2025 mtagaragazwa vibaya zaidi ikiwa hamtafanya matayarisho ya kuwafikia walio wengi vijijini ma kutegemea kushinda kwa ushabiki wa mitandaoni. Wananchi walio wengi mnaowatukana kwamba ni wajinga hawapo mitandaoni.Na ndio wapigaji kura walio wengi
 
CCM ingejua hivyo unadhani ingemtuma Mchengerwa kuondoa 95% ya Wagombea wa Chadema? Ikiwa mna wapiga kura hofu ya kuengua na kuwaua Chadema imetoka wapi?
 
CCM hawana mshipa wa aibu kabisa, yaani wanafanya uchafuu wote huu huku Rais mstaafu Kikwete akishuhudia, mzee wa heshima Walioba akishuhudia Mzee wetu wa muasisi wa TANU na CCM mzee Butiku akishuhudia - hii ni dharau gani nyie CCM kwa hawa wazee, tudharauni sisi walofa wananchi kapuku lakini si hawa wazee.
 
Ukweli hata wewe mwenyewe unaujua. Upuuzi wote ulioratibiwa na Serikali ili kuibeba CCM ulifanyika kwa uwazi bila kificho.

Asilimia zaidi ya 60 ya Wapinzani mmewaengua. Wale wachache bado Watendaji Kata waliwaekea mapingamizi. Kumbuka hao ndio Wasimamizi wa Uchaguzi. Umewahi kuona wapi Msimamizi anaweka pingamizi badala ya Mgombea?? Bado hao hao wachache waliosalia wengine kukatwa mapanga wengine kupigwa risasi. Isitoshe hata wale Wapinzani kiduchu waliofika kwenye kinyang'anyiro yaani kupigiwa kura, bado walikumbana na kura feki kwenye masanduku. Hayo yote hayakufanywa gizani bali mchana kweupe.

Mbaya zaidi upuuzi ule uliratibiwa kusimamiwa na kutekelezwa na Watu wazima kabisa na akili zao bila hata chembe ya aibu. Yaani watu wanaotegemewa eti kulivusha Taifa hili. Wanatenda upumbavu huu kisa tu wana nguvu ya kiutawala. Aibu tupu siyo tu kwa Taifa bali hata ndani ya familia zao wenyewe.

Kuna wana CCM waliumizwa na kuchukizwa na matendo haya lkn hawakuwa na namna. Mfano mtu kama Balozi E. Nchimbi aliyekulia kwenye Siasa wakati wa Ujana wake na sasa ni Mzee tena Katibu Mkuu wa Chama, hawezi kufurahishwa na ushindi wa kipuuzi wa namna hii. Alishajijengea heshima kubwa pamoja na nguvu ya ushawishi kwa Wanaccm wapenda haki. Ni chukizo na aibu machoni mwake. Mimi ni Mpizani hasa lkn napenda aina ya siasa ya Mh huyu.

Mtu kama A. Makala ni hewa hamna kitu pale anasubiria pensheni yake aondoke zake. Wala hana alama yeyote kwenye Chama. Ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine.
 
Ukweli ni kwamba CCM ya sasa haipo mikononi mwa Wazee tena bali mikononi mwa TISS. Walishaporwa nguvu hizo na Mwendazake toka 2016.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…