LGE2024 Pamoja na kudaiwa kushinda Uchaguzi kwa zaidi ya 100% Wanaccm Wanaona aibu, hawashangilii

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Sio kweli,mbona wameshangilia siku 2 mfululizo huku kwetu? Au unajifafiji Kwa Kushindwa? 😁😁
 
Kama CCM itaendelea kuwatumia watu wao kusimamia uchaguzi yaani, Waziri, wakuu wa mikoa na Wilaya, Wakurugenzi na waajiriwa wengine wa serikali, kamwe CCM haitakuja kutoka madarakani.
Lakini pia ikumbukwe kuwa, kwa sasa CCM wameamua kunyang'anya ushindi kwa nguvu tu bila kujali chochote kile.
Shida ni kwamba Bunge, Mahakama na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vipo mikononi mwake. Kwa hiyo ukienda mahakamani hautashinda kesi, ukileta usumbufu mwingine wowote ule ili kudai haki, unakula mkong'oto.

Kwa misingi hiyo, inahitajika Watanzania wote kuwa tayari kupita kwenye MOTO MKALI ili kushinikiza uchafu huu kuondolewa kwa ajili ya kizazi hiki na vizazi vijavyo.
Ili kufanikisha hilo ni lazima kuwa na:-
1. Akili kubwa.
2. Mbinu za kisasa kabisa.
3. Utayari.
4. Ujasiri wa hali ya juu.
5. Moyo wa kujitoa SADAKA.
 
Frelimo ilikuwa kama ccm lakini haifiki muda mrefu Frelimo inapotea Msumbiji
 
Cha wizi ni kitamu usipojulikana
 
LAbda wewe ndiye unaona aibu kwa kushindwa vibaya baada ya chama lako kupuuzwa na watanzania.kutokana na ubabaishaji wake uliokithiri ndani ya chama. Embu niambie ni wapi ambalo Lissu alipiga kura?
Ni kweli sisiyemu imeshinda kwa kishindo.So what? Tutegemee kipya kipi ambacho kitakuwa tangible to ordinary citizens zaidi ya viongozi wa juu wanaondelea kijilimbikizia ukwasi! Endeleeni kushinda
 
Huyu anaweza itwa animal,fikiria pale unaona kundi la nyani au simba wanashambuliana hata kuuwana kisa kubaguana kwa kuwa huyu au yule sii wa kundi letu,au sii wa familia yetu au wa jamii yetu?
Wewe chawa bwege Hata makamu mwenyekiti amekiri hamkajiandaa na uchaguzi harafu wewe unaleta hekaya siasa ni sayansi uchawa na propaganda vishapitwa na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…