Palestina inamjibu Donald Trump baada ya hotuba yake

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
51,008
40,035
Wanaukumbi,

Afisa mwandamizi wa Palestina ameieleza Newsweek maoni yake kuhusu pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwahamisha wakazi wote wa Ukanda wa Gaza ili kufanikisha miradi ya maendeleo ya ardhi.

Trump alipendekeza umma wa Gaza, takriban watu milioni 1.5 hadi zaidi ya milioni 2, wahamishwe kwenda Misri na Jordan. Pendekezo hilo limeibua upinzani kutoka kwa mataifa ya Kiarabu, lakini Trump alisisitiza kuwa Cairo na Amman "watalitekeleza."

Faisal Aranki, mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya PLO, alisema pendekezo hilo "linazua masuala ya kibinadamu na kisiasa," akiongeza kuwa hatua hiyo ni ukiukwaji wa haki za binadamu na inaweza kusababisha migogoro zaidi.

=================================================

A senior Palestinian official shared with Newsweek his reaction to U.S. President Donald Trump's suggestion of relocating the entire population of the Gaza Strip in order to pursue real estate development in the war-torn territory.

Trump first publicly floated the proposal last week, telling reporters that "we can just clean out" Gaza by transferring its population, estimated to be between 1.5 million and more than 2 million people, to neighboring Egypt and Jordan. Despite backlash from the two countries and elsewhere across the Arab world, the U.S. leader doubled down on the proposal in recent days and insisted that Cairo and Amman "will do it."

Faisal Aranki, a member of the Palestine Liberation Organization (PLO) Executive Committee, told Newsweek that the proposal "is controversial and raises many humanitarian and political issues."

"On the one hand, some see it as an immoral step that exposes Palestinians to additional suffering, especially since the forced displacement of people is a violation of human rights and leads to further escalation and conflict," Aranki said.

"On the other hand, some may see it as part of an attempt to find a long-term solution to the Palestinian issue," he continued, "but there are always concerns that such solutions marginalize the basic rights of Palestinians to return and live in dignity on their land."

He argued that "ultimately, any proposal related to the Palestinian issue must take into account human rights and justice, rather than focusing on short-term solutions that may exacerbate the situation in the region."

Source: Newsweek




Surpressed News.png
 
Yakiletwa magari ya kuwahamisha viongozi wao ndiyo watakuwa wa kwanza kupanda ili wakae viti vvya mbele
Kuwahamisha kuwapeleka wapi?😀

Misri, Jordon, Saudia Arabia, Qatar, Syria wote wamemwambia Trump sisi hatuwezi kuhusika kwa namna yeyote ile kiwaondoa Wapelistina kwenye nchi yao.

Trump alivyokuwa punguani anaomba hawagawe kwenye hayo mataifa kisha Gaza wakakee Waisrael
😀😀

Kama ana nia njema alete ndege hawapakie hawapeleke Miami, Washington.
 
Kuwahamisha kuwapeleka wapi?😀

Misri, Jordon, Saudia Arabia, Qatar, Syria wote wamemwambia Trump sisi hatuwezi kuhusika kwa namna yeyote ile kiwaondoa Wapelistina kwenye nchi yao.

Trump alivyokuwa punguani anaomba hawagawe kwenye hayo mataifa kisha Gaza wakakee Waisrael
😀😀
Kama ana lengo nao jema awapeleke New york, Washington, California etc.
 
Washirika wakubwa wa Marekani ni Saudia Arabia na Misri.

Saudia Arabia kasema wazi
Kabisa soma hapa chini.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

⚡️🇸🇦🇺🇸BREAKING: MFA ya Saudi Arabia Yajibu madai ya Donald Trump:

"Msimamo rasmi wa Ufalme wa Saudi Arabia uko wazi na hauyumbi, kama alivyothibitisha tena Mtukufu Mwana Mfalme Mohammed bin Salman bin Abdulaziz Al Saud, Mrithi wa Kifalme na Waziri Mkuu - Mwenyezi Mungu amlinde - katika hotuba yake wakati wa ufunguzi wa mwaka wa kwanza wa muhula wa tisa wa Baraza la Shura juu ya Rabi' al-Awwal tarehe 15, 2446 hadi Septemba 2446.

Katika hotuba yake, Mtukufu Mfalme alisisitiza kwamba Ufalme unashikilia kithabiti kadhia ya Palestina na kwamba Saudi Arabia haitaanzisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel bila kuhakikisha haki za Wapalestina.

Zaidi ya hayo, Mtukufu Mfalme alisisitiza msimamo huu thabiti wakati wa mkutano wa kilele wa ajabu wa Kiarabu na Kiislamu uliofanyika Riyadh mnamo Jumada al-Awwal 9, 1446 AH (sawa na Novemba 2024). Alisisitiza dhamira ya Saudi Arabia ya kuendelea na juhudi za kuanzisha taifa huru la Palestina kulingana na mipaka ya 1967, na Jerusalem Mashariki kama mji mkuu wake. Pia alitoa wito wa kukomeshwa kwa utawala wa Israel katika maeneo ya Wapalestina na akahimiza mataifa zaidi yanayopenda amani kulitambua Taifa la Palestina. Mtukufu Mfalme alisisitiza umuhimu wa kuhamasisha jumuiya ya kimataifa kuunga mkono haki za Wapalestina, kama inavyoonekana katika maazimio ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambayo yanaona Palestina inafaa kwa uanachama kamili wa Umoja wa Mataifa.

Zaidi ya hayo, Ufalme wa Saudi Arabia unathibitisha vikali kukataa kwake kidhahiri ukiukaji wowote wa haki halali za watu wa Palestina, iwe kupitia sera za makazi za Israeli, unyakuzi wa ardhi ya Palestina, au majaribio ya kuwaondoa kwa nguvu watu wa Palestina kutoka kwa ardhi yao. Jukumu la jumuiya ya kimataifa leo ni kufanya kazi ili kupunguza mateso makali ya kibinadamu yanayovumiliwa na watu wa Palestina, ambao wanabaki imara katika ardhi yao na hawataiacha.

Saudi Arabia inasisitiza kwamba msimamo huu thabiti hauwezi kujadiliwa na hauko chini ya mashauriano ya kisiasa. Amani ya haki na ya kudumu haiwezi kupatikana bila watu wa Palestina kupata haki zao halali kwa mujibu wa maazimio ya kimataifa. Msimamo huu umewekwa wazi kwa tawala zilizopita na za sasa za U.S.
 
Kuwahamisha kuwapeleka wapi?😀

Misri, Jordon, Saudia Arabia, Qatar, Syria wote wamemwambia Trump sisi hatuwezi kuhusika kwa namna yeyote ile kiwaondoa Wapelistina kwenye nchi yao.

Trump alivyokuwa punguani anaomba hawagawe kwenye hayo mataifa kisha Gaza wakakee Waisrael
😀😀

Kama ana nia njema alete ndege hawapakie hawapeleke Miami, Washington.
Mwaka 2016 kabla ya uchaguzi wa Marekani niliandika hapa kuwa "Wamarekani walivyo waajabu wanaweza mchagua Trump kichaa". Kuna member mmoja hapa ana ID maarufu inasemekana anaishi huko US alinitukana mno akisema iweje Wamarekani na akili zao wamkubali Trump halafu Mtanzania masikini nione hafai. Sasa leo hadi wabunge huko US mamekiri Trump ni kichaa.

Haya mataifa makubwa mara nyingi huwa yanachagua marais wabaya sana ila kuwa na Taasisi imara inawasaidia kuvuka salama bila uharibifu mkubwa.
 
Mwaka 2016 kabla ya uchaguzi wa Marekani niliandika hapa kuwa "Wamarekani walivyo waajabu wanaweza mchagua Trump kichaa". Kuna member mmoja hapa ana ID maarufu inasemekana anaishi huko US alinitukana mno akisema iweje Wamarekani na akili zao wamkubali Trump halafu Mtanzania masikini nione hafai. Sasa leo hadi wabunge huko US mamekiri Trump ni kichaa.

Haya mataifa makubwa mara nyingi huwa yanachagua marais wabaya sana ila kuwa na Taasisi imara inawasaidia kuvuka salama bila uharibifu mkubwa.
Hakika
 
Back
Top Bottom