Hawa wana tamaduni za kushangaza na za kukandamiza sana jinsia ya kike...
Nilifuatilia tukio lingine binti aliuawa na familia sababu alikataa ndoa ya lazima...tena hapo ni UK...yani wana tabia ya kuwalazimisha mabinti zao kuolewa na watu wa Pakistan ili wavutane kwenda UK kama binti ana uraia...binti alikataa akauawa...wazazi wakajiliza kama hawajui...baada ya muda mdogo wake (naye wa kike) akaamua kuwachomea wazazi wake polisi...shiiida...