Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 829
- 1,972
Habari zenu wana JamiiForums, nimatumaini yangu wote ni wazima na wale wenye changamoto za hapa na pale nawaombeeni mzivuke salamaa..
Sasa basi kwakuwa jukwaa letu hili ,, linatuleta watu toka sehemu mbali mbali za nchi yetu ya Tanzania ,, leo nimeona niwaletee picha mbali mbali za mkoa wa Iringa ,, mkoa ambao unapatikana nyanda za juu kusini mwa nchi ya Tanzania ..
Mkoa ambao unasifika kwa kuwa na sifa mbali mbali kama vile mkoa wenye barisi kali ,, mkoa unaosifika kwa kilimo cha mahindi ,, mkoa wenye vivutio vingi vya utalii kwa upande wa nyanda za juu kusuni ,, mkoa anaotokea shujaa mkwawa shujaa pekee aliyeweza kuwatandika wazungu ,, mkoa wenye watu wakarimu na wachapa kazi ,, mkoa wa watu wasafii na nk.
Sasa basi sifuatazo ni picha mbali mbali za mkoa huu ambazo kwa namna moja au nyingine naamini zitaweza kukupa mwanga au ufahamu fulani juu ya mkoa huu ..
Picha ya 1: iringa C.B.D
Picha ya kwanza ikionesha iringa CBD ,, kushoto msikiti wa ijumaa ukiwa katika ujenzi chini ya campany ya Asasi,, kulia ni barabara inayokupeleka moja kwa moja stendi ya miyomboni ,, sehemu ya mbele kabisa ni barabara kuu ya Iringa - Dodoma
Na nyuma kabisa ni milima iliyoko katika mitaa mbali mbali ya iringa mjini
Picha ya 2, MAENEO YA MSHINDO
Picha hii inaonesha kanisa maarufu sana mjini iringa kanisa la mshindo catholic ,, moja ya miongoni mwa makanisa makongwe kabisa nchini Tanzania ,, inasadikika kanisa hili lilianzishwa miaka ya 1920's
Picha ya 3 : KANISA LA MSHINDO
Kanisa hili ni miongoni mwa icon ya mkoa huu wa iringa
Picha 4: iringa Zebra
Hapa ni iringa zebra ,, hapa ni katikati kabisa ya mji huu wa iringa ,, kushoto ni jengo la Tanesco iringa ,, ghorofa hii ya rangi ya njano ni voda shop na barabara uionayo hapo ni barabara kuu Iringa - Dodoma
Na hiyo ghorofa rangi nyeupe iliopo upande wa kulia ni kalenga hotel
Picha 5: iringa CBD
Picha ikionesha Maeneo mbalimbali ya iringa cbd kama vile , Maeneo ya Mr , total na miyomboni
Picha 6: picha iliyopigwa kwa drone
Pichi cha hii iliyopigwa kwa drone ikionesha sehemu mbali mbali za iringa mjini , ikifocus zaidi maeneo ya chuo cha rucu ( ghorofa zenye rangi ya kijani upande wa kulia ) pamoja na barabara kuu iringa - dodoma na sehemu ya nyuma ya picha ni katikati ya mji wa iringa
picha 7 : kanisa la mshindo iringa
Waweza soma maelezo kwenye picha namba 2
Picha namba 8:
Maeneo ya mshindo iringa
Picha ya 9 iringa manicipal
Picha hii inaonesha maeneo ya iringa manicipal ,, sehemu ambayo ofisi mbali mbali za mkoa zinapatikana
Picha ya : Iringa N.m.c
Picha hii inaonesha ghala la iringa nation milling company ,, miongoni mwa maghala machache sana yaliyojengwa na serikali kwa ajili ya kuhifadhia unga wa mahindi ,,, mikoa mingine ambayo unaweza pia kuyaona maghala ya namna hii ni pamoja na Arusha .. lakini kwenye baadhi ya mikoa kama tanga hasa kwenye viwanda vya cement ,, hutumika kuifadhia cement
Picha ya : Mufindi iringa
Eneo hili lipo mafinga ,, wilaya moja wapo ya iringa ,, itakuchukua takribani masaa matano kutoka iringa mjini kufika mafundi ,,, ndiyo sehemu ambayo kilimo cha chai na ngano( japo kwa kiwango kidogo ) kinafanyika ,, ukiachilia mbali hali ya baridi iliyopo eneo hili ni miongoni mwa maeneo yenye mandhari nzuri sana ..
Lakini pia ningependa kuwakaribisha wadàu wengine wenye picha nyingine za mkoa huu waweze kuzipost humu ,, ili
tuweze kuufahamu zaidi mkoa huu hasa kwa wale ambao
hawajawahi kabisa kufika Iringa .
Asanteni