I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,893
- 10,650
Pia haudumu jimbo la Moshi. Ni jimbo la Dsmumekurupuka wewe, rudi kasome tena thread hadi mwisho.
next time be smart, read the thread between the line til the end. it will avoid you being ashamed.
Ana umri gani mbona kama kama ameshafanyamambo mengi kuzidi umri wakePadri Henry Rimisho wa kanisa katoliki, jimbo la Moshi leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture) ya chuo kikuu cha Ardhi. Padri Rimisho ana shahada ya sayansi katika usanifu majengo (Bachelor of Science in Architecture) na Shahada ya umahiri katika usanifu majengo (Master of Architecture) zote kutoka chuo kikuu cha Ardhi.
Baada ya miaka minne ya kusoma kwa bidii, kufanya tafiti na kuandika maandiko mengi ya kutaalamu, hatimaye leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture). Padri Rimisho ni Professional Architect aliyesajiliwa na Board ya Wasanifu Majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB). Amesanifu majengo mengi ndani na nje ya nchi, pamoja na majengo ya jeshi. Pia ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Ardhi.
Kwa upande mwingine Padri Rimisho ni Askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) mwenye cheo cha Meja (cheo kinachofuata baada ya Kepteni). Pia ni Komandoo wa JWTZ (Millitary Ordinariate) na ameshiriki operesheni kadhaa za kijeshi nje ya nchi, ikiwemo operesheni ya kulinda amani ya Darfur.
Padri Rimisho ni Mmisionari wa shirika la Apostles of Jesus, ambaye ana shahada ya kwanza ya Falsafa (Bacholer degree in Philosophy) na Shahada ya Utaalimungu (Bachelor degree in Theology) kabla ya kubarikiwa kuwa Padri.
Kwahiyo Rimisho ni Padri, ni Meja wa JWTZ, ni Komandoo katika uwanja wa vita, na ni Msanifu mwenye shahada ya uzamivu (PhD) katika usanifu majengo. Kwa hiyo unaweza kumuita Major Rev.Dr.Henry Rumisho (PhD).
Huu ni utumishi wa aina yake na ni watu wachache walioweza kuexplore karama zao zote kama Padri Rimisho. Hakika anastahili pongezi nyingi.!
Credit: Malisa Gj kupitia ukurasa wake wa instagram.
NB: ukiusoma uzi huu kwa minajili ya kupata inspiration kupitia safari ya kielimu ya padre Rimisho, utajifunza kitu.
pia utajifunza kitu kama utausoma uzi huu kwa jicho la kijasusi(namna taasisi zetu za kiusalama zinavyotaradadi kwenye masuala ya usalama wa nchi).
ila utapasuka kichwa kama utausoma uzi huu kwa msukumo wa chuki ya kidini.
View attachment 2033003
Duuu, huyu jamaa hadi leo bado alikuwa anasoma tu hapo, nimemkuta 2009 chuo, nikapiga 5yrs nikamaliza tangu 2014, nikamuacha hapo, hadi leo 2021 alikuwa anateseka tu chuo?! DaaahWana Jamii From!
Bila yakupoteza muda naomba kufahamu jambo moja zito ambalo kwa uelewa wangu nimeshindwa lipatia majibu!
Hivi inawezekana vipi Mtumishi wa Mungu Padre awe mwanajeshi tena komandoo??
Picha hapo chini ni Padre Henry,ambaye ni mwanajeshi komandoo,ambaye katunukiwa PhD yake ya Architecture! View attachment 2032978
....hivi Makomandoo wengine shule haimo kumkichwa?Huyo ndio komando wa kweli na shule imo kichwani
Mmmh kwenye ukomando natia shaka
Pia haudumu jimbo la Moshi. Ni jimbo la Dsm
What do you care?U always put urself as a center of aattention, you were asked about a priest not about you, thats a disorder
Desiring to be the center of attention is also known as a Histrionic personality disorder. This consists of attention seeking behavior and extreme emotional reactions. Those who have this disorder often want to be the center of attention regardless of their environment.
Pia a edit atunikiwa, aandike atunukiwa.Moderator please nisaidie ku-edit title. neno atunika, lisomeke "atunikiwa".
Vipi usheikh nao unakubalika kuchanganya uanajeshi na usanifu wa majengo?
Kozi za ukomandoo ni ngumu sana hivyo wengi waliosoma hawaoni haja ya kujipeleka kule maana nafasi ni nyingi kwa waliosoma....hivi Makomandoo wengine shule haimo kumkichwa?
Anafundisha pia pale ARUHuyu yupo chuo kikuu iv
Kama hupendi niandikayo you better ignore me.Veery right, nilifikiri hujui
kwa lugha za kimedeni utajibiwa "it's classified". na hutakiwi kuendelea kuhoji unless you agree to be killed after knowing the truth.Duh...
Ningependa kujua cv yake kijeshi
Kapigana vita gani
Ova