Padre Silvio, Mwalimu wa Malezi Seminary: Kanisa Lina Wajibu Wa Kuionya Na Kuishauri Serikali. Serikali Haina Mamlaka Kuwanyamazisha Viongozi wa Dini.

Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
3,544
8,285
Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari

KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA KUONYA ?

. Sheria za Kanisa Katoliki (yaani Codex Iuris Canonici – CIC) zinatoa mwongozo mahususi kuhusu wajibu wa viongozi wa dini katika kuhusiana na jamii na serikali.

1. Haki na Wajibu wa Viongozi wa Dini kwa Mujibu wa Sheria za Kanisa

a. Wajibu wa Kutangaza Ukweli na Maadili

Kanon 747 §1:

"Kanisa lina jukumu la asili na la pekee la kueneza ukweli wa Injili kwa watu wote..."

Hii inamaanisha kuwa Kanisa, kupitia viongozi wake, lina haki ya kutangaza ukweli wa Kimungu, bila kuogopa, hata kama ukweli huo unagusa maovu ya kisiasa au kijamii.

b. Wajibu wa Kuonya na Kushauri kwa Hekima

Kanon 768 §1:

"Wahudumu wa Neno la Mungu wanapaswa kufundisha kwa bidii kile kinachohusu imani na maadili, kwa mwanga wa Injili..."

Viongozi wa Kanisa wanaweza, kwa uhuru wa kiroho, kuonya, kushauri, na kukemea maovu ya kijamii na kisiasa. Hii ni sehemu ya utume wao wa kinabii – kama manabii wa Agano la Kale walivyofanya kwa wafalme wa Israeli.

c. Haki ya Uhuru wa Kiroho (Libertas Ecclesiae)

Kanon 137 §1 (kwa mujibu wa sheria za Mtaguso wa Pili wa Vatikano):

"Kanisa lina haki ya kujieleza kwa uhuru juu ya masuala ya kijamii pale ambapo maadili yanaguswa."

Hii ina maana kuwa Serikali haina mamlaka ya kuwanyamazisha viongozi wa dini wanapotoa maoni yao kuhusu maovu au udhaifu wa serikali, mradi wazingatie adabu, ukweli, na nia njema.

d: Kiongozi wa Dini Hastahili Kuwa Mwanasiasa

Kanon 285 §3:

"Mapadre na Maaskofu wanakatazwa kuchukua nafasi za kisiasa au za utawala wa kisekula ambazo hazihusiani moja kwa moja na utume wao wa kichungaji."

Hii ina maana kuwa wao hawatakiwi kuwa wanasiasa, lakini wana jukumu la kisauti la kinabii – yaani, kusema ukweli kwa mamlaka, kwa niaba ya Mungu na watu Wake.

2. Kiongozi wa Dini Anapoonya kwa Ukali – Je, Ni Sahihi?

Ndiyo – mradi onyo hilo linafanywa kwa hekima, ukweli, na nia ya kusaidia jamii, si kwa chuki wala uchochezi. Yesu mwenyewe aliwaonya viongozi wa kisiasa na wa kidini wa nyakati zake kwa ukali, kwa sababu walikuwa wanapotosha watu.

HITIMISHO

Kwa mujibu wa Sheria za Kanisa Katoliki, kiongozi wa dini ana haki na wajibu wa kuishauri na hata kuionya serikali kwa masuala yanayohusu:

...Maadili ya kijamii,

...Haki za binadamu,

...Ustawi wa wananchi,

...Ukweli wa Injili.

Hii ni sehemu ya utume wake wa kinabii, kichungaji, na kimaadili.

Silvio Mnyifuna
 
Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari

KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA KUONYA ?

. Sheria za Kanisa Katoliki (yaani Codex Iuris Canonici – CIC) zinatoa mwongozo mahususi kuhusu wajibu wa viongozi wa dini katika kuhusiana na jamii na serikali.

1. Haki na Wajibu wa Viongozi wa Dini kwa Mujibu wa Sheria za Kanisa

a. Wajibu wa Kutangaza Ukweli na Maadili

Kanon 747 §1:

Hii inamaanisha kuwa Kanisa, kupitia viongozi wake, lina haki ya kutangaza ukweli wa Kimungu, bila kuogopa, hata kama ukweli huo unagusa maovu ya kisiasa au kijamii.

b. Wajibu wa Kuonya na Kushauri kwa Hekima

Kanon 768 §1:

Viongozi wa Kanisa wanaweza, kwa uhuru wa kiroho, kuonya, kushauri, na kukemea maovu ya kijamii na kisiasa. Hii ni sehemu ya utume wao wa kinabii – kama manabii wa Agano la Kale walivyofanya kwa wafalme wa Israeli.

c. Haki ya Uhuru wa Kiroho (Libertas Ecclesiae)

Kanon 137 §1 (kwa mujibu wa sheria za Mtaguso wa Pili wa Vatikano):

Hii ina maana kuwa Serikali haina mamlaka ya kuwanyamazisha viongozi wa dini wanapotoa maoni yao kuhusu maovu au udhaifu wa serikali, mradi wazingatie adabu, ukweli, na nia njema.

d: Kiongozi wa Dini Hastahili Kuwa Mwanasiasa

Kanon 285 §3:

Hii ina maana kuwa wao hawatakiwi kuwa wanasiasa, lakini wana jukumu la kisauti la kinabii – yaani, kusema ukweli kwa mamlaka, kwa niaba ya Mungu na watu Wake.

2. Kiongozi wa Dini Anapoonya kwa Ukali – Je, Ni Sahihi?

Ndiyo – mradi onyo hilo linafanywa kwa hekima, ukweli, na nia ya kusaidia jamii, si kwa chuki wala uchochezi. Yesu mwenyewe aliwaonya viongozi wa kisiasa na wa kidini wa nyakati zake kwa ukali, kwa sababu walikuwa wanapotosha watu.

HITIMISHO

Kwa mujibu wa Sheria za Kanisa Katoliki, kiongozi wa dini ana haki na wajibu wa kuishauri na hata kuionya serikali kwa masuala yanayohusu:

...Maadili ya kijamii,

...Haki za binadamu,

...Ustawi wa wananchi,

...Ukweli wa Injili.

Hii ni sehemu ya utume wake wa kinabii, kichungaji, na kimaadili.

Silvio Mnyifuna
Gentleman,
Kama wananchi,
vile vile tunayo haki ya kukemea uropokaji wa kanisa katoliki kwa unafiki wake wa kujifanya kutetea haki za wananchi hali ya kua duniani kote inafahamika kua maaskofu na mapadre na watawa wakatoliki ndio vinara wa unyanyasaji wa kingono, ulawiti, ufirauni, utoaji mimba, uvunjaji doa za waamini wao, kujaza mabinti mimba na kutelekeza watoto n.k,

halafu wanakimbilia madhabahuni na kujifanya watakatifu zaidi ya yesu kristo wa nazareth, hiyo ndio kutetea haki kama sio unafiki?

that's nonsense,
waache unafiki, waache unyanyasaji wa kingono, ulawiti na ufiraji kwanza ndio waje kutulecture kuhusu haki 🐒
 
Mbona kama una hasira? Kwani wao wamekukataza kuwakemea? Mbona unajitungia hoja na kujijibu? Acha watimize wajibu kulingana na miongozo yao , nawewe timiza wajibu wako unaoona unafaa. Makundi yote yanawajibu wa kuhakikisha jamii inaishi kwa ustaarabu.
 
Yes gentleman,

nina hasira, hamu na ugwadu sana wa kusema ukweli dhidi ya mafirauni waropokaji ndani ya kanisa katoliki ndungu mdau,

Je, ninafanya makosa?🐒
 
Gentleman,
Kama wananchi,
vile vile tunayo haki ya kukemea uropokaji wa kanisa katoliki kwa unafiki wake wa kujifanya kutetea haki za wananchi hali ya kua duniani kote inafahamika kua maaskofu na mapadre na watawa wakatoliki ndio vinara wa unyanyasaji wa kingono, ulawiti, ufirauni, utoaji mimba, uvunjaji doa za waamini wao, kujaza mabinti mimba na kutelekeza watoto n.k,

halafu wanakimbilia madhabahuni na kujifanya watakatifu zaidi ya yesu kristo wa nazareth, hiyo ndio kutetea haki kama sio unafiki?

that's nonsense,
waache unafiki, waache unyanyasaji wa kingono, ulawiti na ufiraji kwanza ndio waje kutulecture kuhusu haki 🐒
Crap. Worth to ignore.

Nina hakika wewe akili imeyumba. Huna akili timamu.

Kosa la mtu mmoja wa dini, halihalishi taasisi ambayo yumo kutimiza kushindwa kutimiza wajibu wake wa kitaasisi.

Kama kuna dada yako, mdogo wako, mama yako, baba yako, mwanao au wewe mwenyewe umelawitiwa na padre, mchungaji, shekhe, ustadhi au askofu, umezuiwa kuchukua hatua dhidi yake? Nenda ukamshtaki mahakamani, kama huna uwezo zione taasisi zinazoshughulika na unyanyasaji wa kijinsia.

Na kama ungekuwa na akili timamu, unajua kuwa kama baba yako, mwanao au wewe mwenyewe umelawitiwa na mtumishi dini, huendi kulishtaki kanisa au msikiti kwa sababu huyo mhalifu aliyekulawiti wewe au mwanao au baba yako, hakutumwa na kanisa au msikiti.
 
Hu
Yes gentleman,

nina hasira, hamu na ugwadu sana wa kusema ukweli dhidi ya mafirauni waropokaji ndani ya kanisa katoliki ndungu mdau,

Je, ninafanya makosa?🐒
Hufanyi makosa kwani wao si Mungu, ni wazi miongoni mwao wamo waovu kama ilivyo katika makundi mengine ya kijamii. Vilevile nao hawafanyi makosa pale wanapokemea mambo yanayoenda ndivyo sivyo. Tuvumiliane tu, tunajenga nyumba moja kwa kuonyana. Wakinyamaza hao, mawe yataongea.
 
halafu gentleman,
mbona ukweli wa kipatanisho zaidi halafu kwa hekima, upole, upendo na busara ya kiwango cha juu sana?

Lengo ni kuninyamazisha kwa maridhiano ya kuweka ukarimu wa kufikia muafaka wa kibinadamu kiroho na kimwili kuhusu mijadala mahususi mezani, right?

hata hivyo,
thank you for the united soul and vibrant comment 🐒
 
Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari

KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA KUONYA ?

. Sheria za Kanisa Katoliki (yaani Codex Iuris Canonici – CIC) zinatoa mwongozo mahususi kuhusu wajibu wa viongozi wa dini katika kuhusiana na jamii na serikali.

1. Haki na Wajibu wa Viongozi wa Dini kwa Mujibu wa Sheria za Kanisa

a. Wajibu wa Kutangaza Ukweli na Maadili

Kanon 747 §1:

Hii inamaanisha kuwa Kanisa, kupitia viongozi wake, lina haki ya kutangaza ukweli wa Kimungu, bila kuogopa, hata kama ukweli huo unagusa maovu ya kisiasa au kijamii.

b. Wajibu wa Kuonya na Kushauri kwa Hekima

Kanon 768 §1:

Viongozi wa Kanisa wanaweza, kwa uhuru wa kiroho, kuonya, kushauri, na kukemea maovu ya kijamii na kisiasa. Hii ni sehemu ya utume wao wa kinabii – kama manabii wa Agano la Kale walivyofanya kwa wafalme wa Israeli.

c. Haki ya Uhuru wa Kiroho (Libertas Ecclesiae)

Kanon 137 §1 (kwa mujibu wa sheria za Mtaguso wa Pili wa Vatikano):

Hii ina maana kuwa Serikali haina mamlaka ya kuwanyamazisha viongozi wa dini wanapotoa maoni yao kuhusu maovu au udhaifu wa serikali, mradi wazingatie adabu, ukweli, na nia njema.

d: Kiongozi wa Dini Hastahili Kuwa Mwanasiasa

Kanon 285 §3:

Hii ina maana kuwa wao hawatakiwi kuwa wanasiasa, lakini wana jukumu la kisauti la kinabii – yaani, kusema ukweli kwa mamlaka, kwa niaba ya Mungu na watu Wake.

2. Kiongozi wa Dini Anapoonya kwa Ukali – Je, Ni Sahihi?

Ndiyo – mradi onyo hilo linafanywa kwa hekima, ukweli, na nia ya kusaidia jamii, si kwa chuki wala uchochezi. Yesu mwenyewe aliwaonya viongozi wa kisiasa na wa kidini wa nyakati zake kwa ukali, kwa sababu walikuwa wanapotosha watu.

HITIMISHO

Kwa mujibu wa Sheria za Kanisa Katoliki, kiongozi wa dini ana haki na wajibu wa kuishauri na hata kuionya serikali kwa masuala yanayohusu:

...Maadili ya kijamii,

...Haki za binadamu,

...Ustawi wa wananchi,

...Ukweli wa Injili.

Hii ni sehemu ya utume wake wa kinabii, kichungaji, na kimaadili.

Silvio Mnyifuna
Huyo Padre Silvio Mnyifuna ni KILAZA/MJINGA sana darasani. Nilisoma naye. Canon law binds only catholics. Ni sheria za wakatoliki kwaajili ya mambo yao. Ukatoliki SIYO dini ya dola. Ndani ya Tanzania kuna dini nyingi sana kwa sababu ya UHURU WA KUABUDI haki ambayo ipo kwenye ibara ya 19 ya katiba ya Tanzania.
Viongozi wa wa dini siyo sehemu ya serikali. Hao viongozi wa katoliki ni magwiji wa KUVUNJA HAKI ZA WATU. Ndani ya kanisa katoliki kuna UOZO mwingine sana, kama UDIKTETA, wizi,utapeli,ubakaji,ulawiti kwa watoto,ushoga, ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nk. Je mbona mambo hayo maaskofu katoliki hawayaongelei kipindi cha Pasaka yao? Maaskofu katoliki hawana moral authority kunyanyua hata kidole kimoja kuikosoa serikali. They should clean their house first. Wapuuzi tu hao! Waiache serikali itimize wajibu wake wa kuwahudumia wananchi. Katoliki wanaleta uchonganishi kwa wananchi kama walivyofanya Rwanda. Shame on them.
 
Katika hili niko pamoja na kanisa.. masheikh ubwabwa wakae mbali na mimi, nisije kumkata mtu kibao, masheikh wamekuwa kama mazwazwa wanalamba miguu, kinafiki mbaya zaidi uislam umekataza unafki.

Wazee wa kanisa simameni kidete nchi isonge mbele,
Haijalishi kiongozi ni muislamu ama mkristo, anaeweza kuipigisha Tanzania hatua kuendea maendeleo na awe kiongozi wetu, sisi hatuna shida na dini yake .
 
Gentleman,
Kama wananchi,
vile vile tunayo haki ya kukemea uropokaji wa kanisa katoliki kwa unafiki wake wa kujifanya kutetea haki za wananchi hali ya kua duniani kote inafahamika kua maaskofu na mapadre na watawa wakatoliki ndio vinara wa unyanyasaji wa kingono, ulawiti, ufirauni, utoaji mimba, uvunjaji doa za waamini wao, kujaza mabinti mimba na kutelekeza watoto n.k,

halafu wanakimbilia madhabahuni na kujifanya watakatifu zaidi ya yesu kristo wa nazareth, hiyo ndio kutetea haki kama sio unafiki?

that's nonsense,
waache unafiki, waache unyanyasaji wa kingono, ulawiti na ufiraji kwanza ndio waje kutulecture kuhusu haki 🐒
Ad hominem 🤣
 
Huyo Padre Silvio Mnyifuna ni KILAZA/MJINGA sana darasani. Nilisoma naye. Canon law binds only catholics. Ni sheria za wakatoliki kwaajili ya mambo yao. Ukatoliki SIYO dini ya dola. Ndani ya Tanzania kuna dini nyingi sana kwa sababu ya UHURU WA KUABUDI haki ambayo ipo kwenye ibara ya 19 ya katiba ya Tanzania.
Viongozi wa wa dini siyo sehemu ya serikali. Hao viongozi wa katoliki ni magwiji wa KUVUNJA HAKI ZA WATU. Ndani ya kanisa katoliki kuna UOZO mwingine sana, kama UDIKTETA, wizi,utapeli,ubakaji,ulawiti kwa watoto,ushoga, ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nk. Je mbona mambo hayo maaskofu katoliki hawayaongelei kipindi cha Pasaka yao? Maaskofu katoliki hawana moral authority kunyanyua hata kidole kimoja kuikosoa serikali. They should clean their house first. Wapuuzi tu hao! Waiache serikali itimize wajibu wake wa kuwahudumia wananchi. Katoliki wanaleta uchonganishi kwa wananchi kama walivyofanya Rwanda. Shame on them.
Unauhakika we si kilaza? Kipanga unajengaje hoja ya namna hii?

What an Ad hominem fallacious argument!

CIC ina bind wakatoliki ndio huoni hapo anaonyesha sehemu ya wajibu wao kulingana na Sheria yao inavyowataka?
 
Huyo Padre Silvio Mnyifuna ni KILAZA/MJINGA sana darasani. Nilisoma naye. Canon law binds only catholics. Ni sheria za wakatoliki kwaajili ya mambo yao. Ukatoliki SIYO dini ya dola. Ndani ya Tanzania kuna dini nyingi sana kwa sababu ya UHURU WA KUABUDI haki ambayo ipo kwenye ibara ya 19 ya katiba ya Tanzania.
Viongozi wa wa dini siyo sehemu ya serikali. Hao viongozi wa katoliki ni magwiji wa KUVUNJA HAKI ZA WATU. Ndani ya kanisa katoliki kuna UOZO mwingine sana, kama UDIKTETA, wizi,utapeli,ubakaji,ulawiti kwa watoto,ushoga, ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nk. Je mbona mambo hayo maaskofu katoliki hawayaongelei kipindi cha Pasaka yao? Maaskofu katoliki hawana moral authority kunyanyua hata kidole kimoja kuikosoa serikali. They should clean their house first. Wapuuzi tu hao! Waiache serikali itimize wajibu wake wa kuwahudumia wananchi. Katoliki wanaleta uchonganishi kwa wananchi kama walivyofanya Rwanda. Shame on them.
Mafisadi safari hii mtanyooka tu.
 
halafu gentleman,
mbona ukweli wa kipatanisho zaidi halafu kwa hekima, upole, upendo na busara ya kiwango cha juu sana?

Lengo ni kuninyamazisha kwa maridhiano ya kuweka ukarimu wa kufikia muafaka wa kibinadamu kiroho na kimwili kuhusu mijadala mahususi mezani, right?

hata hivyo,
thank you for the united soul and vibrant comment 🐒
Hapana ndugu lengo si kukunyamazisha, bali kusaidiana juu ya namna nzuri ya kuapproach mijadala mizito inayovuta hisia za watu wengi. Hatupaswi kutawaliwa na hisia zetu pekee katika mijadala bali na mantiki pia. Katika kila hoja inayoibuka, hata kama hatuipendi au inatukwaza namna gani, haimaanishi haina jema kabisa kabisa.
 
Gentleman,
Kama wananchi,
vile vile tunayo haki ya kukemea uropokaji wa kanisa katoliki kwa unafiki wake wa kujifanya kutetea haki za wananchi hali ya kua duniani kote inafahamika kua maaskofu na mapadre na watawa wakatoliki ndio vinara wa unyanyasaji wa kingono, ulawiti, ufirauni, utoaji mimba, uvunjaji doa za waamini wao, kujaza mabinti mimba na kutelekeza watoto n.k,

halafu wanakimbilia madhabahuni na kujifanya watakatifu zaidi ya yesu kristo wa nazareth, hiyo ndio kutetea haki kama sio unafiki?

that's nonsense,
waache unafiki, waache unyanyasaji wa kingono, ulawiti na ufiraji kwanza ndio waje kutulecture kuhusu haki 🐒
Tawire
 
CCM tulieni ili sindano ziwaingie sawa sawa. MKiambiwa mtende haki na kuacha kuiba kura na kutumia vyombo vya dola kuingia madarakani mnakuja juu na kuanza kupanic kama ulivyopanic hapo juu. Lakini wakati huo huo Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume lingekuwa limemsifia huyo mama yenu msingepanic kiasi hiki.

Kama mnavyopenda na kukenua meno mnapopewa sifa za kijinga mpende pia kukosolewa pale mnapoenda kinyume na katiba pamoja na kukandamiza haki za binadamu wengine kwa maslahi ya chama chakavu CCM
 
Back
Top Bottom