NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,926

walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi kwa kiwaringia na kunyanyasa wasanii chipukizi maana wkt huo kuonana na hao ni kama kuonana na rais na waliringa mno saabu wakikuwa wao tu, yaani ukigombana nao tu hata iwe sababu ya mademu unabaki ndio imeisha hio ama ukikaza basi ni options chache mnoo, kule kwa mzungu Mwamba kulikuwa na foleni si kitoto maana alikuwa anarudi sana kwao Finland na akirudi bongo tayari kuna wasanii wapo pending anashughulika na moja moja, Mtu kama Peacock wa Kikongwe ilimchukua miezi 6