Philomena3
JF-Expert Member
- Apr 24, 2024
- 1,602
- 3,880
Asee Wana JF hali gani huko? kazi iendelee na pia people's powers,
Tuingie kwenye mada!
Unajipambania zako na kuweka malengo Kila siku, Kila mwezi, Aidha miezi, mwaka au miaka kwamba utakua unatunza kiasi kadhaa aidha bank, aidha kwenye lani n. K na unajicommit Ata kujiapiza kabsa sometimes hadi unajinyima vitu vya luxury.
Mara paap😯😂unapata tu kiasi ulichojiwekea malengo ukakitunze au unakuta ushatunza kimeo
Ghafla inapiga hodi
Trafiki kakupiga mkono una kimeo unatoa hela
Gesi imeisha ghafla na hapo labda una mitungi mkubwa nyumbani unatoa hela
- Ghafla umekwama njiani, mchango wa Harusi, wa Rafiki yako ndugu yako kipenzi siku zimebaki chache unatoa hela
- Umeenda baa na hapo ulishajicommit week hii au mwez huu unywi ujibane mara marafiki wanakununulia kwa vile wanaume hatupendi unyonge unajikuta umetoa hela.
- Ndugu wamekutembelea na utaratibu wengi wetu mgeni akija lazima umkirimu ubadili Aina ya msosi unatoa hela
- Kanisani michango ya ujenzi😂unatoa hela(wengi mnatoaga Ila kimoyo moyo mnalaani tuseme ukweli)
Je, unafanyaje kujicommit kufikia malengo yako ya kifedha tukiachalia mbali vipengele kama hivo juu.
Kutunza hela kwa malengo na hakuna udhibiti wa kuitoa ni janga sana.
Naomba kuwasilisha nyie huwa mnafanyaje kwa situation kama hizo?