Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 124,674
- 236,634
Itawekwa muda si mrefu , tunajiridhisha kwanza na masuala ya kiusalamaHiyo orodha ikwapi uliyosema
Naam ! Mimi ni mfanyabiashara wa KimataifaKumbe ulikuwa USA?
Maandalizi yote yamekamilikaWauza nchi watazuia mkutano
Kiukweli tangu nirejee Tanzania kutoka US sijawahi kuona Mkutano uliounganisha watu wa dini , itikadi na Makundi tofauti kama huu , Hongereni sana mlioandaa jambo hili .
Lissu atakuwepo?Maandalizi yote yamekamilika
Wa kutoka Usangu, that's goodNaam ! Mimi ni mfanyabiashara wa Kimataifa
Mikutano wala haiwasumbui na ndo mana wameiruhusu iendelee.Wauza nchi watazuia mkutano
YupoLissu atakuwepo?
Sahivi mpaka kijijini wanajua bandariMikutano wala haiwasumbui na ndo mana wameiruhusu iendelee.
Marehemu ndo alikuwa mshamba flani hv akaipiga ban
Hayo mengine ni yako mwenyeweWa kutoka Usangu, that's good
Timu imekamilikaYupo
Ni kweliSahivi mpaka kijijini wanajua bandari