Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,662
mtoa mada yuko sahihi, hata trump leo hii anadhibitiwa na katiba ya marekani. Vinginevyo hali ingekuwa mbaya. Mwenendo wa mtu humuweka wazi kama ni mgeni au mwenyeji. haiwezekani wewe uwe baba wa nyumba wa A lakini kila siku unahujumu nyumba yako kwa maslahi ya nyumba B!Hii sehemu ya andiko lako imenichekesha sana!
...tunahitaji katiba mpya itakavyovipa vyombo vyetu vya ujasuri na jeshi uwezo wa kudhibiti hali kwa usalama wa taifa letu ...ili hata tukitawaliwa na "mgeni" asiwe na uwezo wa kuvuruga safu ya vyombo vyetu kwa kupenyeza watu wanaoweza kuwa tishio kwa nchi.
Huyo ''mgeni'' ni nani na anapatikana vipi kwenye katiba mpya unayoipigia chapuo?
Hii katiba itakayoruhusu ''mgeni'' kuwa Rais wa Tanzania itakuwa ni katiba ya hovyo sana!
Kinachofurahisha zaidi, andiko lako limejikita kwenye hisia na majungu tu.
Wageni wengi tu wapo katika serikali ya nchi hii, tena hadi kwenye vyombo ambavyo wageni hawaruhusiwi kuhudumu.Hii sehemu ya andiko lako imenichekesha sana!
...tunahitaji katiba mpya itakavyovipa vyombo vyetu vya ujasuri na jeshi uwezo wa kudhibiti hali kwa usalama wa taifa letu ...ili hata tukitawaliwa na "mgeni" asiwe na uwezo wa kuvuruga safu ya vyombo vyetu kwa kupenyeza watu wanaoweza kuwa tishio kwa nchi.
Huyo ''mgeni'' ni nani na anapatikana vipi kwenye katiba mpya unayoipigia chapuo?
Hii katiba itakayoruhusu ''mgeni'' kuwa Rais wa Tanzania itakuwa ni katiba ya hovyo sana!
Kinachofurahisha zaidi, andiko lako limejikita kwenye hisia na majungu tu.
Uko sahihi. Hima Empire ishatimiaHuko "juu" amri inakotoka ndiko kwenye tatizo! Mifano iko mingi tu:
1. Unakumbuka wavuvi wetu waliuawa na askari wa Rwanda mpaka Mwigulu akafanya ziara na kuahidi kuongea na wizara ya nje ili tupate tamko rasmi la serikali ya Rwanda? Hilo likafa kimyakimya, maisha ya watanzania hawa yakapotea hivi hivi. :: Askari Wa Rwanda Watuhumiwa Kuendesha Mauaji Ya Wavuvi Wa Kitanzania Mto Kagera
2. Hujuma dhidi ya operesheni dhidi ya wahamiaji haramu sio jipya tayari thread zipo humu: Asimamishwa kazi kwa kukamata Wanyarwanda porini
3. Rwanda ndio iliyotushauri tununue ndege sio mainjinia wa ATC wala bunge!, Rwanda ndio tunaiga usafi wa jumamosi na mambo mengine ya ajabu ajabu kama kutoleana bastola bila sababu.
4. Eti wataalamu wa IT Tanzania hawapo wako Rwanda, wakati sisi tuko huku miaka kibao tunafanya IT hio hio na hao wanyarwanda tunawafundisha sisi! Mtu anataka awakabidhi mifumo ya bandari!
5. waliopinga mbinu za Rwanda kututawala kupitia bunge la EAC wanafukuzwa kwa kauli za "huyu sitaki kumsikia....sitaki mjadala" !!!
Ninaanza kuwa na wasiwasi na huyu aliye juu.....
Umechafua thread nzuri kabisa kwa kuleta mizaha kwenye suala nyeti.Mkuu wa wilaya alikosea sana, inakuwaje unafanya operation bila ya kuwa na ramani kamili ya kuanzia na kutokea, mbona wakati vita ya uganda walikuwa wanatumia ramani, anafanya operation kuwaondoa wahamiaji haramu ambao wana mifugo mingi wakati wilayani kwake hakuna kiwanda cha kusindika nyama au maziwa. angewetengea maeneo na kuwapatia uraia ili mifugo yao izidishe pato la taifa
Mzaha uko wapi, au lengo ni uchochezi kwa watu wamchukie kiongozi mkuu,utaweza vipi kumfukuza mwenye mali na wewe huna maliUmechafua thread nzuri kabisa kwa kuleta mizaha kwenye suala nyeti.