Mbona sielewi hii 2014?Hebu acha kukurupuka, jipange uelezee unachotaka kusema!Vile vile lazima uelewe chama ni zaidi ya mtu.Hata CCM aliondoka Lowassa na chama kipo.Kuna mtu alikua na nguvu CCM kama Mh Ngoyai?Vile vile lazima ujue kila chama kina utaratibu wake, Chadema sio lazima wakopi kutoka CCm.