yaser JF-Expert Member Jan 23, 2012 1,361 299 May 12, 2016 #1 Gari tajwa hapo juu inauzwa. Ni ya mwaka 2002 na ni cc 1700. Bei yake milion 7.2. Kwa mawasiliano nitafute 0713806766.
Gari tajwa hapo juu inauzwa. Ni ya mwaka 2002 na ni cc 1700. Bei yake milion 7.2. Kwa mawasiliano nitafute 0713806766.
McDonaldJr JF-Expert Member Sep 25, 2013 6,388 7,557 May 12, 2016 #2 Duh Opa kipenzi changu.. yangu imekua kama karandinga nyang'anyang'a wahuni sio watu wallah,ningekua vema ningejipoza na hili chuma ila 7 ntaitoa wapi mie mweeeeee.
Duh Opa kipenzi changu.. yangu imekua kama karandinga nyang'anyang'a wahuni sio watu wallah,ningekua vema ningejipoza na hili chuma ila 7 ntaitoa wapi mie mweeeeee.
Kurutamjanja JF-Expert Member Nov 21, 2013 396 374 May 12, 2016 #3 McDonaldJr said: Duh Opa kipenzi changu.. yangu imekua kama karandinga nyang'anyang'a wahuni sio watu wallah,ningekua vema ningejipoza na hili chuma ila 7 ntaitoa wapi mie mweeeeee. Click to expand... Una sukari Tukupe pesa?
McDonaldJr said: Duh Opa kipenzi changu.. yangu imekua kama karandinga nyang'anyang'a wahuni sio watu wallah,ningekua vema ningejipoza na hili chuma ila 7 ntaitoa wapi mie mweeeeee. Click to expand... Una sukari Tukupe pesa?
Kurutamjanja JF-Expert Member Nov 21, 2013 396 374 May 12, 2016 #5 McDonaldJr said: sukari kweli kiboko nasikia watu wanatoa mahari sugar. Samahani sana mwenye uzi hii inatokea ila changamsha genge uleta wateja. Click to expand... Jiongeze ww sukari nayoizungumzia sio sukari ya chai. Ni sukari hii..
McDonaldJr said: sukari kweli kiboko nasikia watu wanatoa mahari sugar. Samahani sana mwenye uzi hii inatokea ila changamsha genge uleta wateja. Click to expand... Jiongeze ww sukari nayoizungumzia sio sukari ya chai. Ni sukari hii..
yaser JF-Expert Member Jan 23, 2012 1,361 299 May 14, 2016 Thread starter #7 KIJONGA said: 6 Mkuu wangu nakupatia Click to expand... Njoo na 7 nkuachie mzigo.
yaser JF-Expert Member Jan 23, 2012 1,361 299 May 14, 2016 Thread starter #8 Vietnam said: Reason for selling despite money Click to expand... Only money can run all shows.
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Jul 14, 2013 10,476 9,601 May 23, 2016 #9 gari ipo vizuri sana aisee, Na umeitendea haki kweli kuipiga picha eneo hilo,ume i value