Online gani platforms zimeruhusiwa na BoT kutoa Mikopo? Interest zao zikoje?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,788
6,568
Wadau, baada ya Sekseke ya online platforms kutoa mikopo na kua za kudhalilisha watu ,Benki Kuu iliinglia kaylti na kuweka mwongozo na kufungia platforms ambazo haizkuwa zimesajiliwa.

Je, Kwa Sasa ni platforms zipi zinatoa online mkiopo na zomesajiliwa na BOT?

Je, interest kwa Mwezi zikoje?

Soma: Uchunguzi: Wakopeshaji wa mitandaoni hawajasajiliwa na BoT wala BRELA na uendeshaji wao umejaa vitendo vya udhalilishaji

Fuatilia application za mikopo zilizofungiwa

 
Back
Top Bottom