dehab_collection
New Member
- Apr 20, 2024
- 1
- 0
Nguvu za giza inaweza ikawa uchawi, kulimishwa usiku, kurogwa ,kubebeshwa mikoba ya kifamilia na hata pia kutumiwa majini.
Sababu kubwa inayosababisha wanafunzi kufeli katika masomo yao ni ongezeka la nguvu za giza kama uchawi , kutupiwa majini, kuumwa kichwa kisichopona, inayowafanya wakose hamu ya kusoma.
Nina ushuhuda wa watu wengi sana. Unakuta mtoto toka aanze kidato cha kwanza yupo vizuri sana baadae anafeli ukiuliza anakwambia kichwa kinaniuma akienda hospitali anaambiwa hana ugonjwa wowote wengine wanahairisha masomo na kurudi nyumbani, wengine wanakata tamaa na kuacha kusoma.
ATHARI ZA NGUVU ZA GIZA
1. Kurudisha nyuma maendeleo endapo mwanafunz atafeli.
2. Kuongeza umaskini kwa familia wanapojitahidi kumhangaikia mtoto wao.
3. Ongezeko la imani za kushirikiana baada ya kupoteza matumaini endapo tatizo likitambulika kuwa sio la kitaalamu
Nini kifanyike.
1. Vipind vya dini mashuleni vipewe kipaumbele kama vipindi vengine.
2. Katika kila shule kuwe na mtaalamu japo mmoja ambaye anawez akasaidia wanafunzi katika haya mambo kabla haijafikia hatua ya mwanafunzi kukata Tamaa na masomo.
3. Wazazi kuwapa malezi mazuri ya dini kwa watoto wao ili wawe katika misingi ya kumuabudu mungu kwani yeye pekee ndio anaweza kutoa ulinzi dhidi ya wachawi na ushirikina.
4. Ni muda sasa serikali kutambua uwepo wa nguvu za giza zinazorudisha nyuma maendeleo ya wanaanchi wake na kutunga sheria kali ya kuwaajibisha wanaofanya mambo haya endapo watabainika.
5. Wazazi ,ndugu ,jamaa ,na marafiki, njia kubwa ni kukaa kimya unapoona mwanao anafanikiwa na sio kwenda kujigamba kila sehemu na kusasabisha wivu wa kimaendeleo kwa watu wengine unaopelekea mwanao kuwa miongoni mwa wahanga wa hili janga.
6. Seriakali na watu binafs kutoa elimu kwa jamii juu ya athari ya nguvu za giza ili kuongeza uelewa katika jamii juu ya uzito wa suala hili
Hitimisho : hapa nimeongelea kwa upande wa wanafunz ila naomba niwahakikishie ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya nguvu za giza, baadhi ya magonjwa hata hospital hayatambuliki, watu kufukuzwa kazi bila ya sababu, mtu kila biashara anayofanya haifanikiwi , na ongezeko wa uvivi wa kimaendeleo unaopelekea umaskini.
Kauli mbiu : KEMEA NGUVU ZA GIZA KWANI VIJANA NI TAIFA LA KESHO